Kungwi anahitajika haraka

Anayefundisha wanawake jinsi ya kuhandle mume
Unaamini hujui jinsi ya kuhandle mume?

Kama wazazi hawakukuweza kukufundish, amini nakuambia, kungwi atakula hela yako ya bure. Labda kama unataka akufundishe mambo ya ngono.
 
Nataka anifunze mauno tu, hayo mengine nayamudu vyema.
 
Unajitafutia
Aamini nakuambia ngenye ikija anakuja na mauno jumla
Hakuna cha kuachia utayarudi tu hata kama hujafundishwa

Kama unapenda kuwa kahaba nenda kafunzwee
 
Heee kumbe makungwi wanafundisha ukahaba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…