Ooh thank you🥰🥰,. Niko na ka handsome boy kangu hapaHuyo mtoi
Ulienda kufanyaje kwenye saloon za kike mkuu?Unaingia saluni ya wanawake warembo unakaa kwenye sofa, mara wadudu wasumbufu wanaanza kukusumbua. Hawa wadada warembo hawaoni aibu saluni zao kuwa na kunguni?
Ungewaambia mkuuwaliniita niwanunulie vinywaji, wakanikaribisha nikae sofani ndio hao kunguni wakaanza kunisumbua. Nikaona aibu kuwaambia kochi lao lina kunguni ili isionekane nawadhalilisha
Kama wanashida ya vinywaji wao ndio walitakiwa wakufuate ulipo. Next time usirudie kuingia kwenye saluni ya kike.warembo waliniita niwanunulie vinywaji, kisha wakaniambia kaa hapa tunywe wote, ile nimekaa tu kunguni wakaanza kunishambulia ndio nikaashangaa inakuaje warembo wanakuwa na kunguni salunini kwao wakati dawa zipo zinauzwa za kuteketeza wadudu hao wasumbufu?
Ndiyo wakwitie saloon? Na maongezi Yao ukawa unachangia sasa?warembo waliniita niwanunulie vinywaji, kisha wakaniambia kaa hapa tunywe wote, ile nimekaa tu kunguni wakaanza kunishambulia ndio nikaashangaa inakuaje warembo wanakuwa na kunguni salunini kwao wakati dawa zipo zinauzwa za kuteketeza wadudu hao wasumbufu?
Umeingia kufanya ninu? Tuanzie hapoUnaingia saluni ya wanawake warembo unakaa kwenye sofa, mara wadudu wasumbufu wanaanza kukusumbua. Hawa wadada warembo hawaoni aibu saluni zao kuwa na kunguni?
Mbona hujaniambia umeolewaOoh thank you🥰🥰,. Niko na ka handsome boy kangu hapa
Inabidi kusimamia nje, kunguni noma,wanazaliana balaa!Inabidi kuanza kujifunza kusimama maana kuna maeneo ukikaa kwenye masofa yao unabeba kunguni tu.
Ooh I thought you knew about it,.Mbona hujaniambia umeolewa
Anafanana nawewe.jamani kazuri na babake upo anaye??Ooh I thought you knew about it,.
Nakwambia saizi basi
yeah tupo wote na babake,. ThanksAnafanana nawewe.jamani kazuri na babake upo anaye??
lee naomba utoe picha ya mwanangu kwenye hiyo profile yako!, ufanye haraka kabla sijakurukia taikondo!yeah tupo wote na babake,. Thanks
hahaha,. Sawa baba inafutwa soonlee naomba utoe picha ya mwanangu kwenye hiyo profile yako!, ufanye haraka kabla sijakurukia taikondo!