AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,413
- 6,283
- Thread starter
- #21
GoodThe Legend
Fong Sai Yuk
The Wrath of Vajra
GoodThe Legend
Fong Sai Yuk
The Wrath of Vajra
GoodIP Man zote kali
Flash Point
D.T. Gate nayo yamoto sana
Kung Fu Jungle
Bonge la movieBlack Ship Affair kuna ile scene wahuni walitaka kuml tackle jamaa mabafuni. Alichowafanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bonge la movieblades vipi?
yule dogo mtalam wa upanga nilimuelewa vibaya sana aisee aisee
Kuna ule BLACK MASK ya JET LI na yule jambazi wa kuitwa TEACHER palipigwa mbungi mule sio mchezoGood
dah, kitambo sana hii kibanda umizathe master of flying guillotine
Tony JaTony Jaaa yupo ktk movie ipi hapo.. Mie yule jamaa ndio naona anajua kupiga vifuti..na makwenzi.
Yule mwamba anapiga jamaniTony Ja
Iko Uwais
Wathailand Hawa nao movie kali
Kuna movie ya IKO UWAIS inaitwa THE RAID ,Wacha kabisa palipigwa ngumu mixer vishoka na mapanga ya hatari. Special Forces walinyooshwa haswa yani
Kwenye THE RAID aisee palipigika raia sio kitoto.Yule mwamba anapiga jamani
Noma sanaYule mwamba anapiga jamani
Bonge la movieTony Ja
Iko Uwais
Wathailand Hawa nao movie kali
Kuna movie ya IKO UWAIS inaitwa THE RAID ,Wacha kabisa palipigwa ngumu mixer vishoka na mapanga ya hatari. Special Forces walinyooshwa haswa yani
Movie kali sanadah, kitambo sana hii kibanda umiza
Movie zinakipigo hatari sanaKuna ule BLACK MASK ya JET LI na yule jambazi wa kuitwa TEACHER palipigwa mbungi mule sio mchezo
Ndo maana nikasema uongeze mkuuSijaona fearless ya jet lee
Ilikua ina unyama mwingiSijaona fearless ya jet lee
Unapenda sana movie za aina hii mkuuIlikua ina unyama mwingi
Enzi za
BODYGUARD FROM BEIJING
MY FATHER IS A HERO
ROMEO MUST DIE
KISS OF THE DRAGON
FORBIDEN KINGDOM (humu ndio nilocopy signature yangu ya JF - Speed, Power & Accuracy)
THE ONE (Ama JET LI wawili[emoji23])
TAI CHI MASTER
RED DRAGON
THE MASTER
ONCE UPON A TIME IN CHINA
JET LI ametuburudisha sana [emoji120][emoji120][emoji120]
Noma sanaView attachment 2580713
Hii movie Hapana [emoji1]