Kung'atuka siasani kwa Dr. Philip Mpango na Kassim Majaliwa Majaliwa wasaidizi wakuu wa Rais Samia, nini nyuma ya pazia ?

Safi, hapa kama ni usalama wamefanya jambo jema kumshauri...naye amefanye vyema kukubali sasa. Alinde heshima yake...anafaa agombee nafasi ya juu ama asigombee kabisa. Huwezi kuwa waziri mkuu kwa miaka zaidi ya kumi...akipata fursa ya kugombea uraisi hata Mimi nitampatia kura yangu na ndugu zangu nitawashawishi wampe kura ...hana baya mwamba
Ana Baya moja Tu,lile la Njombe msikitini 🤣
 
Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango makamu wa rais kuamua kupumzika siasa.

Makamu wa Rais Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango, siasa basi naenda kuwa mkulima
View attachment 3391423

Na ndugu Kassim Majaliwa Majaliwa waziri mkuu naye kuamua kupumzika siasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=x1OXBuo9sMg

Hakika mwaka huu 2025 viongozi wa juu kuamua kupumzika siasa, na kubakia bosi wao Dr. Samia Suluhu Hassan. Zile tetesi kuwa kuna mabadiiliko makubwa yanakuja

Je tutegemee pia mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano naye anaazima ya kuachia ngazi ndiyo maana ya kurefusha ukomo wa bunge had 03 Agosti 2025 bila kuelezwa sababu?

CCM MPYA CHINI YA UONGOZI MPYA KUONGOZA AJENGA YA NO REFORMS NO ELECTION

Kwa kuangalia kwa hali ya siasa Tanzania inaonesha uongozi wa juu kabisa kumekuwepo kutokukubaliana juu ya ajenda hii, na hivyo mmoja mmoja kuamua kuachia ngazi ili wote watatu wakipisha hoja za wanaotaka mabadiliko na kutoa nafasi uongozi mpya kuendesha mabadiliko.

Tumeona mwanadiplomasia, mwanasiasa aliyekulia ndani ya Umoja wa Vijana ya Nyerere, Mwingi, Mkapa na Kikwete siyo UVCCM ya Magufuli wala ya Dr. Samia Suluhu Hassan ambapo UVCCM hao chini ya awamu ya 5 na 6 wamekuwa vijana wahafidhina machawa wasiotaka mabadiliko na kuyazuia kwa siasa chafu.

Mkuu, alichofanya Samia kuhusu ukomo wa Bunge, siyo kigeni. Hata Kikwete alifanya hivyo.
 
Watanzania wengine wanahoji kila kitu.

Wanahoji viongozi waking'ang'ania madaraka wasipotaka kustaafu.

Pia, viongozi wakiamua kustaafu, wanahoji.
 
Safi, hapa kama ni usalama wamefanya jambo jema kumshauri...naye amefanye vyema kukubali sasa. Alinde heshima yake...anafaa agombee nafasi ya juu ama asigombee kabisa. Huwezi kuwa waziri mkuu kwa miaka zaidi ya kumi...akipata fursa ya kugombea uraisi hata Mimi nitampatia kura yangu na ndugu zangu nitawashawishi wampe kura ...hana baya mwamba
Mananga kama wewe ndiyo mnaifanya Tanzania ibaki kuwa kama jalala. Huyu lofa anaweza kuwa rais wakati hata huo uwaziri ulikuwa siyo saizi yake?
 
Back
Top Bottom