Kung'atuka siasani kwa Dr. Philip Mpango na Kassim Majaliwa Majaliwa wasaidizi wakuu wa Rais Samia, nini nyuma ya pazia ?

Kung'atuka siasani kwa Dr. Philip Mpango na Kassim Majaliwa Majaliwa wasaidizi wakuu wa Rais Samia, nini nyuma ya pazia ?

Inaitwa 'purge' mkakati wa dola kulazimisha viongozi waachie ngazi.

Purge : Usafishaji wa safu za juu kisiasa unarejelea kuondolewa kwa lazima au kuondolewa kwa watu wanaochukuliwa kuwa wasiohitajika kutoka kwa taasisi ya kisiasa, kama vile serikali au shirika, na wale walio mamlakani.

Hii inaweza kuhusisha hatua mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kunyongwa, kufungwa gerezani, uhamisho, au kuondolewa tu kutoka kwa nyadhifa za ushawishi.

Usafishaji mara nyingi hutekelezwa ili kuunganisha mamlaka, kuondoa wapinzani, au kutekeleza upatanifu wa kiitikadi.




Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango makamu wa rais kuamua kupumzika siasa.


Makamu wa Rais Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango, siasa basi naenda kuwa mkulima
View attachment 3391423

Na ndugu Kassim Majaliwa Majaliwa waziri mkuu naye kuamua kupumzika siasa


View: https://m.youtube.com/watch?v=x1OXBuo9sMg

Hakika mwaka huu 2025 viongozi wa juu kuamua kupumzika siasa, na kubakia bosi wao Dr. Samia Suluhu Hassan. Zile tetesi kuwa kuna mabadiiliko makubwa yanakuja

Je tutegemee pia mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano naye anaazima ya kuachia ngazi ndiyo maana ya kurefusha ukomo wa bunge had 03 Agosti 2025 bila kuelezwa sababu?

CCM MPYA CHINI YA UONGOZI MPYA KUONGOZA AJENDA YA NO REFORMS NO ELECTION

Kwa kuangalia kwa hali ya siasa Tanzania inaonesha uongozi wa juu kabisa kumekuwepo kutokukubaliana juu ya ajenda hii, na hivyo mmoja mmoja kuamua kuachia ngazi ili wote watatu wakipisha hoja za wanaotaka mabadiliko na kutoa nafasi uongozi mpya kuendesha mabadiliko.

Tumeona mwanadiplomasia, mwanasiasa aliyekulia ndani ya Umoja wa Vijana ya Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete siyo UVCCM ya John Pombe Magufuli wala ya Dr. Samia Suluhu Hassan ambapo UVCCM hao chini ya awamu ya 5 na 6 wamekuwa vijana wahafidhina machawa wasiotaka mabadiliko, waendekeza siasa za kibabe na kuchagua siasa chafu.

UTITIRI WA WAKUU WA MIKOA, MA-DC ambao ni wahafidhina, walazimishwa kuchukua FOMU za ubunge, waondoke kwenye mhimili wa dola :

View attachment 3391519
Photo : Paul C. Makonda

Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya mahafidhina, legasi ya awamu ya 5 na 6 ambao kupitia kofia zao nyingi za kiuongozi kama wenyeviti wa Kamati za Siasa , Ulinzi na Usalama wanaonekana kuwa wanaweza kuwa kikwazo kwa dola kuongoza mabadiliko, hivyo waoneshwa mlango wa kutoka kupisha mabadiliko kwa kuambiwa wakagombee ubunge kwenye mhimili bunge usio wa dola.

NINI KIMEFANYA CHAMA KONGWE KUJITATHMINI NA KUFANYA MAGEUZI NDANI YA MFUMO, ILI KIWEZE KUBAKI MADARAKANI
Uchaguzi wa mwaka jana nchini Mozambique (2024) ambapo chama rafiki cha CCM chama cha FRELIMO kiliamua kutoka kwenye utaratibu wa mazowea na kumteua Daniel Chapo kuwa mgombea, kada aliyetoka nje ya MFUMO uliozeeleka .

CCM baada ya kujithamini kutokana na wimbi kubwa la kudai mabadiliko ndani ya chama, na pia kutoka nje kwa watanzania wasio wana CCM imeona sasa ijivue 'gamba' kiukweli ingawa 'mnyama' huyu atabaki yuleyule katika muonekano mpya wa ari ya kupenda mahitaji ya umma wa waTanzania wa kipindi cha sasa.

HALI HALISI NDANI YA CHAMA KONGWE

MWENYEKITI CCM WILAYA ANASWA AKIMTETA MWENYEKITI WA TAIFA, MWENYEWE ARUKA MITA MIA"


View: https://m.youtube.com/watch?v=jMSRjSDTZvk
mazungumzo haya yaliyonaswa ni miongoni ya mazungumzo mengi yanayoendelea katika vijiwe, minada, magulio, mwalo na pwani za uvuvi, sokoni na katika majumuiko ya watanzania.

Hapo utasikia raia bila kujali vyama vyao vya kisiasa wakioneshwa kutoridhishwa na mengi yanaendelea katika siasa, usalama, uchumi, haki na maendeleo ya watu


Bila kusahau watu wasiojulikana wanaoonekana, kuwakera viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kwani wasiojulikana wamekuwa nje ya mfumo rasmi wa vyombo hivyo.

Vikundi hivyo tayari vinaweza kutishia usalama wa nchi kwa kuonekana kuwa na nguvu kuliko vyombo rasmi vinavyo tambulikana kikatiba

1751635069985.jpeg
 
Rebellion (uasi) ya kisiasa ndani ya chama dola kongwe ?

Wanadai mabadiliko (Reforms) ndani ya mfumo wa chama dola CCM?

SIASA: Kuzungukana kunavyoididimiza CCM nchini Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=uQRY6jGtoeA
Fitina zinaweza kuashiria kuwa baadhi ya wanachama wameweka mbele maslahi binafsi au ya makundi yao kuliko maslahi ya chama au ya wananchi kwa ujumla. Hili linaweza kudhoofisha misingi ya uongozi wa haki, uwajibikaji na mshikamano wa kitaifa. Fitina zinaweza kudhihirisha changamoto katika mfumo wa demokrasia ya ndani ya chama – kwamba maoni tofauti au upinzani wa ndani haufanyiwi kazi kwa njia ya kidemokrasia, na badala yake hutekelezwa kwa njia za majungu, visasi, au mizengwe
 
Hawajaondoka wamezuka kukaa pembeni lakini wanajipanga kumwengua Mkoloni Kaburu toka Zanzibar ili Majaliwa ateuliwe kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya ccm

05 July 2025
Waandishi wajaribu kufumbua fumbo la hatua hii ya ndugu Kassim Majaliwa Majaliwa ghafla kubadili nia ya kuwakilisha wana wa jimbo la Ruangwa


View: https://m.youtube.com/watch?v=yE4fxhCuJrw

Kutangaza jambo hadharani halafu ghafla kubadili nia ndani ya saa 24 ni kiashiria kuwa kuna jambo limetokea

Sasa nini kinaweza kuwa kimetokea, na mawazo ya kubadilika ghafla ...

Minogono ni kuwa chama kikongwe..
 
Hii inaweza kuhusisha hatua mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kunyongwa, kufungwa gerezani, uhamisho, au kuondolewa tu kutoka kwa nyadhifa za ushawishi.

Usafishaji mara nyingi hutekelezwa ili kuunganisha mamlaka, kuondoa wapinzani, au kutekeleza upatanifu wa kiitikadi

July 13, 2025
Havana, Cuba

Humphrey Herson Polepole resigned from his post as Tanzania's Ambassador to Cuba on July 13, 2025.


View: https://m.youtube.com/watch?v=aqJiuGhHUyQ

Tanzania's Ambassador to Cuba, Humphrey Polepole, has resigned from his post, effective July 13, 2025.

He also relinquished his broader public leadership duties, including overseeing Tanzanian interests across the Caribbean, Central America, Colombia, Venezuela, and Guyana.

His resignation letter was addressed to President Samia Suluhu Hassan. Polepole stated he had "lost peace of heart and faith in the current administration. He went further and cited concerns about the current leadership and political direction of Tanzania, including human rights abuses, erosion of accountability, and a lack of respect for human dignity.
 
Fitina zinaweza kuashiria kuwa baadhi ya wanachama wameweka mbele maslahi binafsi au ya makundi yao kuliko maslahi ya chama au ya wananchi kwa ujumla. Hili linaweza kudhoofisha misingi ya uongozi wa haki, uwajibikaji na mshikamano wa kitaifa. Fitina zinaweza kudhihirisha changamoto katika mfumo wa demokrasia ya ndani ya chama – kwamba maoni tofauti au upinzani wa ndani haufanyiwi kazi kwa njia ya kidemokrasia, na badala yake hutekelezwa kwa njia za majungu, visasi, au mizengwe

13 July 2025
JASUSI TV : Sababu Halisi Zilizomfanya Balozi Polepole Ajiuzulu | Hazimo Kwenye Barua liyomwandikia Rais Samia Suluhu

View: https://m.youtube.com/watch?v=CbCN9lHPUk4
 
09 December 2014
Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani-City

Amb. Humphrey H. Polepole


View: https://m.youtube.com/watch?v=tMtyZvDJWGI

Mjumbe wa Kamati ya Katiba Pendekezwa ndugu Humphrey H. Polepole ahoji mambo mengi mazito ktk ukumbi wa Mlimani City .. kuwa hii Katiba pendekezwa ya 2014 ni katiba ya Kimapinduzi iliyokusanya maoni ya wananchi na siyo maoni ya viongozi kama wabunge n.k

Katiba hii pendekezwa inatoa nafasi kuwawajibisha viongozi waliochaguliwa na wananchi bila kusubiri muda wao wa kukaa madarakani baada ya uchaguzi uishe, ni kwamba kama kiongozi haeleweki basi atafungashiwa virago mapema kabla ya miaka mitano kuisha..

Yule mwamba wa movie Arnold Alois Schwarzenegger gavana wa ... aliingia madarakani baada ya wananchi wa jimbo kuonesha kutokuwa na imani na mtangulizi wake ndipo akapata nafasi ya kuchaguliwa mwigizaji mwamba Arnold Alois Schwarzenegger .. nchi nyingi katiba zao zinaruhusu kiongozi kuondolewa madarakani kabla ya muhula wake kuishi Kenya, Peru, Ecuador, Uswiss kwa kutaja kwa uchache ...kiongozi huweza kuondolewa kikatiba anapofanya vitu visivyoeleweka kwa wapiga kura wake..

..
Humphrey Polepole, aliitaka serikali kusambaza Katiba inayopendekezwa pamoja na rasimu ya Tume hiyo kwa wananchi ili waisome na kuielewa kabla ya kuipigia kura ya maoni.

Kuhusiana na suala la elimu ya wabunge, alisisitiza kuwa ni vema wabunge wawe na elimu ya kidato cha nne, tofauti na katiba inayopendekezwa inayowataka wawe wanajua tu kusoma na kuandika.

Alisema endapo Katiba itapitishwa kama ilivyo kwamba wabunge wajue kusoma na kuandika pekee, itamuwia vigumu rais kupata mawaziri wenye elimu ya kutosha ya kusimamia shughuli za maendeleo ya nchi.

“Unawezaje kusema wabunge wawe wanajua kusoma na kuandika tu, isipokuwa mawaziri, je, wakichaguliwa wabunge wote ambao uwezo wao ni wa kusoma na kuandika tu, hao mawaziri watatoka wapi na shughuli za maendeleo wataendeshaje?” alihoji Polepole.

Kadhalika, alisema kuwa anashangaa mawaziri kuipigia chapuo Katiba inayopendekezwa na kuipinga serikali tatu, wakati hata wao walitoa maoni wakiitaka muundo wa serikali hizo.

“Mimi nilishiriki katika kikao cha kukusanya maoni ya mawaziri, walipendekeza serikali tatu, na hata baadhi ya mawaziri wakuu nao walipendekeza serikali hizo, na wasitake tufikie huko wanakotaka, wakibisha tunaweza kuwataja,” alisema huku walioshiriki mdahalo huo wakitaka awataje.
 
Purge : Usafishaji wa safu za juu kisiasa unarejelea kuondolewa kwa lazima au kuondolewa kwa watu wanaochukuliwa kuwa wasiohitajika kutoka kwa taasisi ya kisiasa, kama vile serikali au shirika, na wale walio mamlakani.

Hii inaweza kuhusisha hatua mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kunyongwa, kufungwa gerezani, uhamisho, au kuondolewa tu kutoka kwa nyadhifa za ushawishi.

31 Julai 2025
Amb. Humphrey Herson Polepole:

POLEPOLE AFICHUA SIRI KASSIM MAJALIWA NA DR. PHILIP MPANGO KUJIUZULU


View: https://m.youtube.com/watch?v=7AEiEnm_Y04
 
Inaitwa 'purge' mkakati wa dola kulazimisha viongozi waachie ngazi.

Purge : Usafishaji wa safu za juu kisiasa unarejelea kuondolewa kwa lazima au kuondolewa kwa watu wanaochukuliwa kuwa wasiohitajika kutoka kwa taasisi ya kisiasa, kama vile serikali au shirika, na wale walio mamlakani.

Hii inaweza kuhusisha hatua mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kunyongwa, kufungwa gerezani, uhamisho, au kuondolewa tu kutoka kwa nyadhifa za ushawishi.

Usafishaji mara nyingi hutekelezwa ili kuunganisha mamlaka, kuondoa wapinzani, au kutekeleza upatanifu wa kiitikadi.

Wasiwasi ndani ya kasri la mtawala, sasa anageukia wandani wake kuwa ni maadui

06 December 2025

BREAKING! Kiongozi wa Kitaifa wa Awamu Iliyopita Awekwa Chini Ya Ulinzi na SAMIA


View: https://m.youtube.com/watch?v=-o8nLiBxFR4
 
Kuingia kwenye historia ya kumbukumbu ya utawala wako umeuawa watu 10000+ ni laana,inawezekana hawataki kuandikwa kwa historia mbaya ya laana ya mauwaji.
 
Hata Trump awamu ya pili ameingia na watu wa tofauti kama vile Elon Musk.
Kwani Trump ndio kioo chenu? Mtapasuka msamba mkifuata wanayofanya wamarekani ; wenzenu wanakwenda mwezini hawa ; nyie mtaweza wakati sasa ndio mnaanza na treni za umeme!
 
Back
Top Bottom