Kung'atuka siasani kwa Dr. Philip Mpango na Kassim Majaliwa Majaliwa wasaidizi wakuu wa Rais Samia, nini nyuma ya pazia ?

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,865
Reaction score
34,022
Inaitwa 'purge' mkakati wa dola kulazimisha viongozi waachie ngazi.

Purge : Usafishaji wa safu za juu kisiasa unarejelea kuondolewa kwa lazima au kuondolewa kwa watu wanaochukuliwa kuwa wasiohitajika kutoka kwa taasisi ya kisiasa, kama vile serikali au shirika, na wale walio mamlakani.

Hii inaweza kuhusisha hatua mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kunyongwa, kufungwa gerezani, uhamisho, au kuondolewa tu kutoka kwa nyadhifa za ushawishi.

Usafishaji mara nyingi hutekelezwa ili kuunganisha mamlaka, kuondoa wapinzani, au kutekeleza upatanifu wa kiitikadi.

A political purge refers to the forced removal or elimination of individuals considered undesirable from a political entity, such as a government or organization, by those in power. This can involve various measures, including execution, imprisonment, exile, or simply removal from positions of influence. Purges are often implemented to consolidate power, eliminate rivals, or enforce ideological conformity.

Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango makamu wa rais kuamua kupumzika siasa.

Makamu wa Rais Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango, siasa basi naenda kuwa mkulima
1751462729034.jpeg

Na ndugu Kassim Majaliwa Majaliwa waziri mkuu naye kuamua kupumzika siasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=x1OXBuo9sMg

Hakika mwaka huu 2025 viongozi wa juu kuamua kupumzika siasa, na kubakia bosi wao Dr. Samia Suluhu Hassan. Zile tetesi kuwa kuna mabadiiliko makubwa yanakuja

Je tutegemee pia mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano naye anaazima ya kuachia ngazi ndiyo maana ya kurefusha ukomo wa bunge had 03 Agosti 2025 bila kuelezwa sababu?

CCM MPYA CHINI YA UONGOZI MPYA KUONGOZA AJENDA YA NO REFORMS NO ELECTION

Kwa kuangalia kwa hali ya siasa Tanzania inaonesha uongozi wa juu kabisa kumekuwepo kutokukubaliana juu ya ajenda hii, na hivyo mmoja mmoja kuamua kuachia ngazi ili wote watatu wakipisha hoja za wanaotaka mabadiliko na kutoa nafasi uongozi mpya kuendesha mabadiliko.

Tumeona mwanadiplomasia, mwanasiasa aliyekulia ndani ya Umoja wa Vijana ya Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete siyo UVCCM ya John Pombe Magufuli wala ya Dr. Samia Suluhu Hassan ambapo UVCCM hao chini ya awamu ya 5 na 6 wamekuwa vijana wahafidhina machawa wasiotaka mabadiliko, waendekeza siasa za kibabe na kuchagua siasa chafu.

UTITIRI WA WAKUU WA MIKOA, MA-DC ambao ni wahafidhina, walazimishwa kuchukua FOMU za ubunge, waondoke kwenye mhimili wa dola :

1751467913782.jpeg

Photo : Paul C. Makonda

Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya mahafidhina, legasi ya awamu ya 5 na 6 ambao kupitia kofia zao nyingi za kiuongozi kama wenyeviti wa Kamati za Siasa , Ulinzi na Usalama wanaonekana kuwa wanaweza kuwa kikwazo kwa dola kuongoza mabadiliko, hivyo waoneshwa mlango wa kutoka kupisha mabadiliko kwa kuambiwa wakagombee ubunge kwenye mhimili bunge usio wa dola.

NINI KIMEFANYA CHAMA KONGWE KUJITATHMINI NA KUFANYA MAGEUZI NDANI YA MFUMO, ILI KIWEZE KUBAKI MADARAKANI
Uchaguzi wa mwaka jana nchini Mozambique (2024) ambapo chama rafiki cha CCM chama cha FRELIMO kiliamua kutoka kwenye utaratibu wa mazowea na kumteua Daniel Chapo kuwa mgombea, kada aliyetoka nje ya MFUMO uliozeeleka .

CCM baada ya kujithamini kutokana na wimbi kubwa la kudai mabadiliko ndani ya chama, na pia kutoka nje kwa watanzania wasio wana CCM imeona sasa ijivue 'gamba' kiukweli ingawa 'mnyama' huyu atabaki yuleyule katika muonekano mpya wa ari ya kupenda mahitaji ya umma wa waTanzania wa kipindi cha sasa.

HALI HALISI NDANI YA CHAMA KONGWE

MWENYEKITI CCM WILAYA ANASWA AKIMTETA MWENYEKITI WA TAIFA, MWENYEWE ARUKA MITA MIA"

View: https://m.youtube.com/watch?v=jMSRjSDTZvk
mazungumzo haya yaliyonaswa ni miongoni ya mazungumzo mengi yanayoendelea katika vijiwe, minada, magulio, mwalo na pwani za uvuvi, sokoni na katika majumuiko ya watanzania.

Hapo utasikia raia bila kujali vyama vyao vya kisiasa wakioneshwa kutoridhishwa na mengi yanaendelea katika siasa, usalama, uchumi, haki na maendeleo ya watu

Bila kusahau watu wasiojulikana wanaoonekana, kuwakera viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kwani wasiojulikana wamekuwa nje ya mfumo rasmi wa vyombo hivyo.

Vikundi hivyo tayari vinaweza kutishia usalama wa nchi kwa kuonekana kuwa na nguvu kuliko vyombo rasmi vinavyo tambulikana kikatiba
 
Safi, hapa kama ni usalama wamefanya jambo jema kumshauri...naye amefanye vyema kukubali sasa. Alinde heshima yake...anafaa agombee nafasi ya juu ama asigombee kabisa. Huwezi kuwa waziri mkuu kwa miaka zaidi ya kumi...akipata fursa ya kugombea uraisi hata Mimi nitampatia kura yangu na ndugu zangu nitawashawishi wampe kura ...hana baya mwamba
 
Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango makamu wa rais kuamua kupumzika siasa.

Na ndugu Kassim Majaliwa Majaliwa waziri mkuu naye kuamua kupumzika siasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=x1OXBuo9sMg

Hakika mwaka huu 2025 viongozi wa juu kuamua kupumzika siasa, na kubakia bosi wao Dr. Samia Suluhu Hassan. Zile tetesi kuwa kuna mabadiiliko makubwa yanakuja

Je tutegemee pia mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano naye anaazima ya kuachia ngazi ndiyo maana ya kurefusha ukomo wa bunge had 03 Agosti 2025 bila kuelezwa sababu?

Wamechagua upande wa HAKI, hawataki dhuluma.✍️✍️
 
Sisi yetu
Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango makamu wa rais kuamua kupumzika siasa.

Na ndugu Kassim Majaliwa Majaliwa waziri mkuu naye kuamua kupumzika siasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=x1OXBuo9sMg

Hakika mwaka huu 2025 viongozi wa juu kuamua kupumzika siasa, na kubakia bosi wao Dr. Samia Suluhu Hassan. Zile tetesi kuwa kuna mabadiiliko makubwa yanakuja

Je tutegemee pia mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano naye anaazima ya kuachia ngazi ndiyo maana ya kurefusha ukomo wa bunge had 03 Agosti 2025 bila kuelezwa sababu?

Sisi yetu macho na masikio wao watajua wenyewe
 
Yule amepata uraiasi kimuujiza halafu aachie?
 
CCM MPYA CHINI YA UONGOZI MPYA KUONGOZA AJENGA YA NO REFORMS NO ELECTION

Kwa kuangalia kwa hali ya siasa Tanzania inaonesha uongozi wa juu kabisa kumekuwepo kutokukubaliana juu ya ajenda hii, na hivyo mmoja mmoja kuamua kuachia ngazi ili wote watatu wakipisha hoja za wanaotaka mabadiliko na kutoa nafasi uongozi mpya kuendesha mabadiliko.

dr mpango aliamua kupumzika ndio maana muda huu anasafiri huku na huko ili ale kuku kabla ya kustaafu,ama kuhusu maajaliwa hawaivi na mama na alitaka kumg'oa mama kipindi kile,hivyo mama alishamwambia bwana kaa pembeni
 
Back
Top Bottom