mwepesi
Senior Member
- Jan 27, 2016
- 156
- 95
Habali wanajamvi.. Mim n mwanachuo.. Nimekua na tatzo la kukosa hamu ya kusoma kabla sijaona tar ya pepa.. Hii imenifanya kujiumiza sana pale ninaposkia ratiba imetoka kwa kusoma mambo ya mwaka mzima kwa single day. Naomben msaada nitumie njia gani kuepuka hii kasumba