Kunenepa zaidi mikononi husababishwa na nini?

Spalulu

JF-Expert Member
May 5, 2013
283
146
Habari zenu wana jf, mmekuwa msaada kwangu kwa mengi sana. Sasa leo tena unisaidie kwa hili, hivi kunenepa mikono zaidi au miguu nini kisababishi? Na nini suluhisho lake? Hasa mikono wadau. Nimeona wadada wengi wana maumbile hayo.

Utamuona ana umbo la kawaida sehemu zingine lkn mikono ni zaidi. Mimi huwa sipendi hali hii. Najua kwamba kwa wanawake uzito ukizidi makalio huongezeka zaidi na kwa wanaume vitambi. Sasa hili la mikono inakuwaje? Msaada wenu tafadhalini. Am serious. Sitaki utani.

Jingine ni hili, mazoezi gani yanafaa ili kukaza misuli ya mikono? Yaani zile nyama za mikono zinazolegeea! Sizipendi mimi. Asanteni.

Nategemea mazuri toka kwenu
 
Hii inategemeana na genetic make up.
Kuna makabila kama ya Kule Knjaro, wanawake wengi wana umbo ambalo juu anakuwa Mkubwa (kifua, mikono, mabega n.k) ihali chini anakuwa mdogo na makabila mengine kama Wanyaki, mwanamke anatanuka juu na chini sawa sawa na makabila kama Wahaya baadhi ya wanawake juu anakuwa mdogo afu chini anakuwa Mkubwa...
 
Ooh nashukuru mkuu ngoja niendelee kupata michango kwa wadau. Lkn, kiukweli unaona tu mtu alikuwa na mikono ya kawaida wakati fulani, na baada ya muda inaongezeka mikono zaidi hii inakuwaje? Na ni yepi mazoezi ya kujaza muscles za mikono ili zisilegee?
 
piga gym aina ya shoulder itakaza
 
Thanks haniton, but I need exercises that won't involve gym cant cope with gym's timetable. After all huku niishiko niko mbali na fitness centers
 
Thanks haniton, but I need exercises that won't involve gym cant cope with gym's timetable. After all huku niishiko niko mbali na fitness centers
Push ups, pull up..dip in n.k

Piga push up, mazoez ya kujivuta kwa kuninginia na dip in wiki ukipiga asubuh jioni kwa reps 3 kila zoezi utapata matokeo
 
Asante marengo, sasa nifafanulie mazoezi ya dip in ndo yepi? Si unajua hizi terminology wakati mwingine zinasumbua?
Push ups, pull up..dip in n.k

Piga push up, mazoez ya kujivuta kwa kuninginia na dip in wiki ukipiga asubuh jioni kwa reps 3 kila zoezi utapata matokeo
 
Back
Top Bottom