Kunegotiate Mshahara UTRATRA Mtupu

Kunegotiate Mshahara UTRATRA Mtupu

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,223
Kuna dogolasi mmoja anafanya interview Tigo sasa amefika stage ya kubargain Maslahi! Kama Mungu tu nikamuuliza unaenda kutaja bei gani? "Yaani nimeuliza uliza washkaji wa huko TIGO wamniambia hicho kitengo hakuna mtu anaepata chini ya 1.5 Mills" (Inawezekana maana ni kitengo nyeti)

Nikamuuliza hao washkaji walikupa Salary slip zao ukaona hiyo figure? "Aaaaah!

Mazafanta mkubwa!!!!!! Nikamwambia we karopoke tu huko utaiona habari yako! Wenzio wanataja 500,000 wewe comfidently kabisaa 1.5m!!!!!! Akuajiri nani?

The trick is heri utaje ndogo coz kama ni zaidi watakupa tu kuliko utaje kuuubwa way out of their scale! Tena ukitaja ndogo ndo wanafurahi wanaona wakikupa scale yako utakuwa motivated!

Nimemkomalia dogo asitaje zaidi ya 800,000! Potelea pote!

Nyie mwaonaje!??????????
 
Nibora mtu ataje ndogo kama ulivyo sema kwani awezi jua wale wanaolipwa 1.5 mls labda ime increase kutokana na ufanisi wa kazi lakini kwa sababu yeye ndio kwanza anaanza ataje amount ambayo iko reasonable kuanzia.
 
But lara 1 Sometimes ukitaja kidogo ni dalili ya kwamba hujiamini na performance yako ndo maana ukawa of "cheap price" assumption hapa ni kwamba mara nyingi watu makini wapo expensive hili hata waajiri wanalijua vizuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Unahitaji mshahara wa kiasi gani?

" kwa kweli siwezi nikakutajia kiwango cha mshahara ambacho nakihitaji coz naweza nikakutajia kiwango kikubwa zaidi nikawa nakuumiza wewe au nikakutajia kidogo nikawa najiumiza na mimi, swala la mshahara ningekuachia mwenyewe tu uamue kutokana na qualifications zangu pamoja na challenges zilizopo kazini na ugumu wake na urahisi wake"

^^^ what do you think about the above answer?

Mi naona ni bora tu usikitake kabisa kiwango unachohitaji, baadae waweza ukaja ukanegotiate
 
ushauzi mzuri sana umempa bora akataja ndogo ili akingie tu mbishe zingine zinaanza ukizingatia na ugumu wa ajira zecomdy wanakwambia chezea mshahara usichezee kazi chezea kazi uone kazi kupata kazi.
 
Kama customer care wako wahindi so sio muajiliwa wa TiGO ila wao TiGO hakunaga longolongo wala kamlete bila vigezo tupa kapuni. Mwambie ajipange....
 
Binafsi huwa nashiriki interviews nyingi na tatizo la Watanzania wengi ni how to sell ourselves to potential employers
 
Unahitaji mshahara wa kiasi gani?

" kwa kweli siwezi nikakutajia kiwango cha mshahara ambacho nakihitaji coz naweza nikakutajia kiwango kikubwa zaidi nikawa nakuumiza wewe au nikakutajia kidogo nikawa najiumiza na mimi, swala la mshahara ningekuachia mwenyewe tu uamue kutokana na qualifications zangu pamoja na challenges zilizopo kazini na ugumu wake na urahisi wake"

^^^ what do you think about the above answer?

Mi naona ni bora tu usikitake kabisa kiwango unachohitaji, baadae waweza ukaja ukanegotiate
jibu kama hilo ndo linalotufanya wateezeee tunapitwa na wakenya..ona kitu chamsingi ni compare qualifications zako..nature ya kazi unayoifanya majukumu ya kila siku yale then jumlisha watajie..kama wakisema kubwa waambie hiyo ndo thamani yako wakisema shusha shusha kimtindo..inasaidia kuonekana u know what ur worth is...
 
Taja mshahara wowote cha msingi uweze kuujustfy.
Mfano Mzungu alimbana jamaa yangu anauliza why do you want $5000 can u share with me the breakdown??
Kijasho kikatoka lakini kidume akajikaza;
1. house rent $200
2.saving $2000
3.matumizi home $1000
4.Mafuta $600
5.n.k
n.k

jamaa wakatoa $4500 anakula shavu
 
Hili ni tatizo kubwa na nadhani ifike mahali tuwe na regulators na waweke standards. Yaani utakachotaja kama ni zaidi ya bajeti yao inaweza kuwa kigezo cha kukunyima kazi. Lakini ikiwa within hata kama ni nusu wanakupa hiyo uliyotaja. Crazy!
 
binafsi huwa nashiriki interviews nyingi na tatizo la watanzania wengi ni how to sell ourselves to potential employers

safi....leta uzoefu wako kuhusu hili la mshahara...ili kuondoa tatizo mkuu
 
Unahitaji mshahara wa kiasi gani?

" kwa kweli siwezi nikakutajia kiwango cha mshahara ambacho nakihitaji coz naweza nikakutajia kiwango kikubwa zaidi nikawa nakuumiza wewe au nikakutajia kidogo nikawa najiumiza na mimi, swala la mshahara ningekuachia mwenyewe tu uamue kutokana na qualifications zangu pamoja na challenges zilizopo kazini na ugumu wake na urahisi wake"

^^^ what do you think about the above answer?
utamuumiza nani?hivi unadhani wewe unaweza ukaiumiza kampuni kama Airtel au Tigo kwa hiyo 1.5mil utakayowatajia,na watakuwa tayari kwa hiyo?
hili swali haliitaji maelezo mengi,ni bora utaje kiwango ambacho kinaendana na nafasi na wewe pia,mfano kwa huyo mtu wa Lara kama watu walimwambia wanalipwa 1.5mil hata kama ni uongo anaweza akataja inayokaribiana na hiyo like 1.2 or 1m, BTW lengo la hilo swali nadhani sio wewe kupanga mshahara wako bali ni wao kujua mshahara utaaffect vp utendaji wako na je utakuwa upo tayari kufanya kazi au la.mfano umetamka laki 9 na mshahara wao ni laki 6 obviously itakuwa na effect kwako wewe baadae na ndio maana likawa ni moja ya maswali ya interview ili kujua haswa nani anatakiwa kwenye hiyo position.na pia hutakiwi kutaja kiasi cha chino sana utaonekana huna confidence au hujui thamani ya hiyo position.
 
Binafsi huwa nashiriki interviews nyingi na tatizo la Watanzania wengi ni how to sell ourselves to potential employers


Mbona umetuacha na swali tena??Ingekua vema sana kama ungetoa na jibu lake kulingana na mapungufu uliyoyaona ....
 
hapo umemsaidiaje huyu mtu,kwa kumwambia tatizo la watanzania wengi?

Mtu anaulizwa ukipata hii gazi ungependa kupewa mshahara gani..........majibu yake ndio mtihani wenyewe.......wengine "according to your scales" wengine "wowote ule mtakaonipa kulingana na kazi hii"
 
Mbona umetuacha na swali tena??Ingekua vema sana kama ungetoa na jibu lake kulingana na mapungufu uliyoyaona ....

Mathalan mtu anaambiwa "tell us about yourself" na yeye anayarudia yaleyale yaliyoko katika CV na application letter......this is a question that gives you the platform to convince the potential employer that you are the person for the job...........so try to fill in the profile of the job by giving your attributes and not names,schools,certifications etc
 
Mtu anaulizwa ukipata hii gazi ungependa kupewa mshahara gani..........majibu yake ndio mtihani wenyewe.......wengine "according to your scales" wengine "wowote ule mtakaonipa kulingana na kazi hii"

Kiukweli kati ya maswali ambayo huwa yananikera kwenye interview ni hili... Unakuta firm tayari ina scales zake na ziko fixed sasa haya maswali si ya kupotezeana muda??.... Just tell me the amount you are willing to pay then kama naridhia nitawaambia....Kuna hatari unaweza kudanganywa na waliopo ndani kuwa kazi hiyo anzia mill 2....ndio viwango vya chini hapa...kumbe hata nusu ya hiyo amount hakuna anayepata..watu wanaishia kukuona kituko kwenye interview...Ushauri wangu unapotangaza weka kabisa hivyo mie naaply nikijua kuwa nitapata nini endapo nitafaulu interview....


 
Here are 10 classic tough interview questions you should be ready to answer, along with strategies on how to respond to them in a way that makes you stand out:


Could you tell me a little about yourself?Most interviewers use this question not only to gather information, but also to assess your poise, style of delivery and communication ability. Don't launch into a mini-speech about your childhood, schooling, hobbies, early career and personal likes and dislikes. Instead, briefly cite recent personal and professional work experiences that relate to the position you're seeking and that support your credentials. Better yet, prepare a personal branding statement that quickly describes who you are and what you can bring to the company.


Why did you leave your previous employer, or why are you leaving your present job?The economy has pushed many talented professionals into the workforce, so don't be ashamed to simply explain that you were a part of a downsizing. If you were fired for performance issues, it's best to merely say you "parted ways" and refocus the discussion on how your skill set matches the current position. If you currently have a job, focus on why you're seeking greater opportunity, challenges or responsibility. If you're transitioning to a new industry, discuss why you're making the transition and tie it into the new job responsibilities (make sure that you have very strong references regardless of why you left, or are leaving, a position).


What are your greatest strengths?
Briefly summarize your work experience and your strongest qualities and achievements that are directly related to the responsibilities of the job you are applying for. One proven approach is to include four specific skills that employers value highly: self-motivation, initiative, the ability to work in a team and a willingness to work long hours.


What are your weaknesses?
Realize that most interviewers don't expect you to be perfect or reveal your true weaknesses. Turn this question around and present a personal weakness as a professional strength. Let's assume that you're detail-oriented, a workaholic and that you neglect friends and family when working on important projects. You can turn these weaknesses around by saying that you're very meticulous and remain involved in projects until you've ironed out all the problems, even if it means working after hours or on the weekend.


Another tactic is to discuss an area where you're seeking improvement, and then highlight the steps you're taking to meet that goal. Perhaps you're an accountant, and are working to improve your knowledge of payroll procedures by taking courses at a local college, or maybe you're an IT professional earning additional certifications.


What can you tell me about our company and/or industry?
Do your homework. Check out the company website and their "About Us" section. Most public companies post Investor Information which typically lists their Management Team, Board of Directors and past financial performance. Write down a few key points that you can cite when asked. Interviewers want to know that you're interested in more than just a job.


What do/did you like most and least about your present/most recent job?
Concentrate your answer on areas that are relevant to the position and be specific. Don't say, "I liked the atmosphere." Instead, try saying "I enjoyed the camaraderie of being part of a team." When discussing least-liked aspects of your present or previous job, try to mention an area of responsibility that's far removed from the functions of the job you're seeking. But be sure your answer indicates that you either performed the assignment well or that you learned something useful. This shows that you stick with tasks, even ones that don't particularly interest you.


Aren't you overqualified for this position?
Hardly anyone expects you to say "yes" to this question in today's job market. If you do, the interviewer may think you'll grow dissatisfied and leave the company quickly. Instead focus on the experience and skill set you'll bring to the position and the value they'll receive by hiring you.


What sets you apart from other applicants?
The interviewer who asks you this is really probing your readiness for the job, your ability to handle it, your willingness to work hard and your fitness for the job. Show your readiness by describing how your experience, career progression, qualities and achievements make you an asset. Keep it professional, and focus on the value you'll bring to the position. Highlight your ability by discussing your specific skills and accomplishments, but don't forget to show your interest in the job itself.


Where do you hope to be in three years?
This question is often asked of recent college graduates, and the worst answer is to say that you want to be president of the company or have the interviewer's position. Instead, talk about what motivates you especially what will motivate you on this job and what you hope to have accomplished.


Do you have any questions? Can you think of anything else you'd like to add?
Don't say "no," or that everything has been thoroughly discussed. If you think the interviewer has any doubts, now's the time to restate why you're the most logical candidate for the opening. Show your interest in the company by preparing some key questions in advance. Asking about corporate culture or what the interviewer likes the best about the company will give you insight and let the interviewers know that you're interviewing them as well.
 
safi....leta uzoefu wako kuhusu hili la mshahara...ili kuondoa tatizo mkuu

How to handle the tough question about salary expectations?


This question is probably one of the trickiest ones. A good sign is if the interviewer is asking you about your salary expectations, this is probably because he is interested in your profile.You need to be well prepared to give a pertinent and coherent answer. This question may seem easy but it can blow your chances of getting the job in a snap.

To begin with, let's understand why the interviewer asks you this question. There are two main reasons. The first one is that the recruiter doesn't want to waste neither his time nor yours. When a company decides to recruit someone for an open position, they always set a salary range for it. If you are already earning more than the maximum they are willing to reach and you don't want to go below this salary, there is no point in putting you through. This is why the recruiter usually asks you this question when you apply for a job or get head hunted. He needs to know whether your expectations are compatible or not with what the company offers for this role.


If you get a job interview, this topic will be brought up again in a more detailed way. Asking what your salary expectations are is a roundabout way to get a glimpse of your personality. Indeed, your answer will enable the interviewer to know if you are able to evaluate yourself. You need to appreciate your true worth. The number of years' experience you have, the projects you conducted, the skills and knowledge you have are what makes you special. If you give a salary below the average of what professionals get for the same position, the interviewer will think you don't have enough experience for the position and that you think you are not skilled enough to do this job. This raises the issue of self-confidence. Keep in mind that an interview is comparable to a sales negotiation. You need to convince the company you are the perfect match for this job. Not believing in yourself is not going to make them want to hire you.


On the other hand, if you give a salary above the average, it can be viewed as a bit pretentious. You have the right to ask for more but be ready to explain why. You need to have good reasons and a solid argumentation. If you think you should get a higher salary, prove it. If you are right and the company wants you they will probably readjust their offer.


As you can see, there is no reason to be anxious. The key is to be honest, confident and above all realistic. Here are a few tips to prepare your answer to this question.


Carry out a little investigation
You need to know what the salary range is for this position. There are salaries surveys published every year which provide a clear picture of the market and that you can take as a starting point. Most of them are available on internet and will give you impartial and accurate data. They enable you to have a quick overview of the salaries of people who held the same position are getting.


Be careful! You need to take into consideration the following elements as the salary range may vary depending on these factors:
- The country where the role is located
- The size of the company
- The sector in which the company operates
- Number of years needed for the position
- The responsibilities you would have to handle
- If you would have to manage people and if so how many


Ask people around you
Have a chat with your workmates and friends who are currently doing the job you are going to be interviewed for. They might be able to give you precious information and a few tips on how to conduct a successful salary negotiation. They were in your shoes when they had their own job interview so they know what the objections can be and how to overcome them.


Know your strengths
Go through your CV and spot the information which will be taken into account in the salary negotiation. That can be previous work experience, skills, knowledge of the sector, languages you master… Be able to emphasize all of them and to explain why they are valuable for the job and the company.
 
Back
Top Bottom