Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,405
- 1,847
Hahaha, eti utapiamlo haujawahi kuishaTatizo kuna binadamu wamekariri ya kuwa dini ni ukristo na Uislamu tuu, halafu wanadhani dini zao ndio zipo sahihi.
Kwa ufupi kuna dini nyingi sana duniani na kila dini inaamini ndio sahihi,
Hiko Ulaya na mashariki ya mbali wenzetu hata hizo dini za kichawi zimesajiliwa rasmi kama dini zingine, kama wale wiccans, na wana elimu kubwa sana iliyofichwa ambao sisi tunaojifanya kumpenda Yesu tunafuata bendera tuu,
Tunaojifanya kusali na kumpenda Yesu sana lakini utapiamlo haujawahi kuisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app