Kundi kubwa la viongozi na watu mashuhuri CHADEMA na UKAWA wabisha hodi ofisi za CCM

BABA NI CCM

Member
Nov 24, 2018
86
98
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Ndugu zangu wachaga 'shimbon'yi'. Si lengo kuzusha ukabila hapa la hasha ni salamu tu kwa nia njema ya kuwakaribisha ndugu zangu watanzania wenzetu kutoka uchagani walioamua kubisha hodi na kuomba kujiunga na chama makini kinachompambania mnyonge wa taifa hili popote alipo Chama Cha Mapinduzi, CCM.

Habari za kundi kubwa wa viongozi na wanachama wenye ushawishi ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla kutaka kujiunga na CCM kupitia matawi ya mikoa wanapotokea zimezidi kuenea na hivi karibuni zitalipuka na kuacha pigo kubwa upinzani. Wapo viongozi na washirika wenye ushawishi kuanzia vijana, wakinamama hadi wazee wanaofuatilia namna ya kujiunga na CCM tunasema Karibuni ndugu zetu karibuni tulisukume gurudumu la maendeleo mbele zaidi.

Mnaweza kujiunga na CCM kwa njia rahisi kabisa lakini niwakumbushe CCM hatuitaji watu wasio na mapenzi mema na taifa, chama na serikali kwa ujumla, CCM tunaamini katika misingi iliyo kwenye katiba na kanuni zetu za jumuiya, CCM tunaamini utii wa sheria za nchi na zile za kimataifa, CCM tunaamini ili mtanzania aweze kuendelea ni lazima tumkomboe kifikra kwa kumpa elimu bure, kiuchumi kwa kumjengea mazingira rafiki, kupambana na maradhi kwa kuhakikisha dawa zinapatikana hospitalini.

Karibuni CCM, karibuni nyumbani kimenoga.

Wasalimu Lumumba
Ni mimi mtoto wa Baba
 
huko kuna raha sana nini ngoja waje wengi
 
Hakuna kitu hapo wanaogopa kufilisiwa maana yule Wa Kinondoni alisema sasa atakuwa anafungua vioo vya gari maana alikuwa anaogopa alipokuwa Upinzani mwisho Wa kunukuu, ccm msiwatishe Watanzania
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Ndugu zangu wachaga 'shimbon'yi'. Si lengo kuzusha ukabila hapa la hasha ni salamu tu kwa nia njema ya kuwakaribisha ndugu zangu watanzania wenzetu kutoka uchagani walioamua kubisha hodi na kuomba kujiunga na chama makini kinachompambania mnyonge wa taifa hili popote alipo Chama Cha Mapinduzi, CCM.

Habari za kundi kubwa wa viongozi na wanachama wenye ushawishi ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla kutaka kujiunga na CCM kupitia matawi ya mikoa wanapotokea zimezidi kuenea na hivi karibuni zitalipuka na kuacha pigo kubwa upinzani. Wapo viongozi na washirika wenye ushawishi kuanzia vijana, wakinamama hadi wazee wanaofuatilia namna ya kujiunga na CCM tunasema Karibuni ndugu zetu karibuni tulisukume gurudumu la maendeleo mbele zaidi.

Mnaweza kujiunga na CCM kwa njia rahisi kabisa lakini niwakumbushe CCM hatuitaji watu wasio na mapenzi mema na taifa, chama na serikali kwa ujumla, CCM tunaamini katika misingi iliyo kwenye katiba na kanuni zetu za jumuiya, CCM tunaamini utii wa sheria za nchi na zile za kimataifa, CCM tunaamini ili mtanzania aweze kuendelea ni lazima tumkomboe kifikra kwa kumpa elimu bure, kiuchumi kwa kumjengea mazingira rafiki, kupambana na maradhi kwa kuhakikisha dawa zinapatikana hospitalini.

Karibuni CCM, karibuni nyumbani kimenoga.

Wasalimu Lumumba
Ni mimi mtoto wa Baba
Naona unajitekenya mwenyewe....
 
Mwendelezo wa Sera za kipumbafu. Tunahoja za maana za dhuluma mafao, Kubakwa kwa democrasia,Kukanywagwa Katiba. Mazingira mabaya wawekezaji ndani na nje, Mahusiano mabaya na jumuia za kimataifa.... Wewe unaleta mzaha uharo wako hapa!
 
watu wanashindwa kutabiri ile ligi ya kizungu..
kwamba je msimu huu ni LIVA au CITY...
Wakimataifa a k a U nimewasaka kwa tochi kwenye sita bora sijawaona..
tatizo screen ya simu yangu ndogo siwezi kuperuzi hadi mkiani..
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Ndugu zangu wachaga 'shimbon'yi'. Si lengo kuzusha ukabila hapa la hasha ni salamu tu kwa nia njema ya kuwakaribisha ndugu zangu watanzania wenzetu kutoka uchagani walioamua kubisha hodi na kuomba kujiunga na chama makini kinachompambania mnyonge wa taifa hili popote alipo Chama Cha Mapinduzi, CCM.

Habari za kundi kubwa wa viongozi na wanachama wenye ushawishi ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla kutaka kujiunga na CCM kupitia matawi ya mikoa wanapotokea zimezidi kuenea na hivi karibuni zitalipuka na kuacha pigo kubwa upinzani. Wapo viongozi na washirika wenye ushawishi kuanzia vijana, wakinamama hadi wazee wanaofuatilia namna ya kujiunga na CCM tunasema Karibuni ndugu zetu karibuni tulisukume gurudumu la maendeleo mbele zaidi.

Mnaweza kujiunga na CCM kwa njia rahisi kabisa lakini niwakumbushe CCM hatuitaji watu wasio na mapenzi mema na taifa, chama na serikali kwa ujumla, CCM tunaamini katika misingi iliyo kwenye katiba na kanuni zetu za jumuiya, CCM tunaamini utii wa sheria za nchi na zile za kimataifa, CCM tunaamini ili mtanzania aweze kuendelea ni lazima tumkomboe kifikra kwa kumpa elimu bure, kiuchumi kwa kumjengea mazingira rafiki, kupambana na maradhi kwa kuhakikisha dawa zinapatikana hospitalini.

Karibuni CCM, karibuni nyumbani kimenoga.

Wasalimu Lumumba
Ni mimi mtoto wa Baba
Chama makini kwa kutukata pension kweli mtu afanye kazi miaka 60 ma Professor 65 uwalipe 25% ndio chama makini na kinajali? Mimi ni CCM lakini kwa hili chama changu kimenikera kupita kiasi. Naamini hao wanaobisha hodi CCM ni kwa njaa zao tu za kisiasa na sio vinginevyo.
 
Sidhani kama kuna jipya katika kuhama hama kama ilivyokuwa walivyohama kingunge, lowasa, Slaa ama kukimbia kwa Lipumba. Hakuna jipya mkuu, wewe lete habari zenye kushitua sio hizi tena. Kama unalipwa ulipwe kwa kazi ya ukweli ukweli, Kwa sasa kwenye kuhama hakuna jipya tena.
 
Hiyo ndo ccm bwana,tayari uji umewe kwa kwa chupa
IMG-20181110-WA0048.jpg
 
Labda walimuona yule kijana aliyeukwaa u DC yaani Jerry wakadhani neema imewaangukia wachaga. Poleni ila mmeshachelewa. Laiti mngelimsikiliza polepole mkawahi. Sasa mlango umeshafungwa.
Kumbukeni kisa cha wale wanawali 10. Watano wenye busara; kina Waitara &co. Na watano "wapumbavu" Ndo nyiye mnaoomba kuingia leo.
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Ndugu zangu wachaga 'shimbon'yi'. Si lengo kuzusha ukabila hapa la hasha ni salamu tu kwa nia njema ya kuwakaribisha ndugu zangu watanzania wenzetu kutoka uchagani walioamua kubisha hodi na kuomba kujiunga na chama makini kinachompambania mnyonge wa taifa hili popote alipo Chama Cha Mapinduzi, CCM.

Habari za kundi kubwa wa viongozi na wanachama wenye ushawishi ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla kutaka kujiunga na CCM kupitia matawi ya mikoa wanapotokea zimezidi kuenea na hivi karibuni zitalipuka na kuacha pigo kubwa upinzani. Wapo viongozi na washirika wenye ushawishi kuanzia vijana, wakinamama hadi wazee wanaofuatilia namna ya kujiunga na CCM tunasema Karibuni ndugu zetu karibuni tulisukume gurudumu la maendeleo mbele zaidi.

Mnaweza kujiunga na CCM kwa njia rahisi kabisa lakini niwakumbushe CCM hatuitaji watu wasio na mapenzi mema na taifa, chama na serikali kwa ujumla, CCM tunaamini katika misingi iliyo kwenye katiba na kanuni zetu za jumuiya, CCM tunaamini utii wa sheria za nchi na zile za kimataifa, CCM tunaamini ili mtanzania aweze kuendelea ni lazima tumkomboe kifikra kwa kumpa elimu bure, kiuchumi kwa kumjengea mazingira rafiki, kupambana na maradhi kwa kuhakikisha dawa zinapatikana hospitalini.

Karibuni CCM, karibuni nyumbani kimenoga.

Wasalimu Lumumba
Ni mimi mtoto wa Baba
Una siku mbili JF lakini umeonesha kiwango cha chini sana cha ujenzi wa hoja. Warudishie chenji waliokutuma maana unatafuna hela yao bure.
 
Mods, uzi huu umeka kikabila na uchochezi, please uondoeni.

Chadema ni chama cha kitaifa kama ccm, vyama vyote duniani vimeanzishwa na wachache na kubaki kuwa cha wanachama.

Hata Tanu na Taa na watu wachache lakini keo hawajulikani, ni kimekua chama cha waTqnzania, na chadema kipo hivyo.

Mleta mada ametukosea sana sisi wana ccm na tunampinga
 
Sikuzote mnawaita nyumbu, kwenye kuwakaribisha mnawaita ndugu zetu. Kweli unafiki uko wa kutosha kwenye nchi hii.
 
Back
Top Bottom