Kunaweza kuwa na raha ya maisha bila mapenzi?

Yanafurhaisha sana...
Na...
Yanachukiza yakienda vibaya...


Karibia majambo yako/kila kitu tunafanya kwa ajili ya mapenzi au kwa sababu ya mapenzi...

Mapenzi ni mazuri sana ukimpata mnaeendana... Na ni mabaya sana ukimpata msiyoendana...


smart911 and mahondaw kila siku na kama sikukuu kwa jinsi tunavyopendana...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom