Kunaubaya kumuonyesha mpenzi...

Safi sana kwa kunipa jibu zuri sana, sasa nadhani kama mmlalamikaji alivyosema hapo inawezekana yeye hapewi hiyo care atawezaje ku appreciate hapo sasa.

Ok,nadhani tukirudi nyuma kwenye post yangu tutaelewana zaidi,rafikize Mrs 007, wanamueleza mbona Mr anakupenda sana, hapa tunapata picha kua jamaa ana care sema Mrs 007 anatoa appreciation nyingi,na huo mfano hizo kitaalam wanaziita primary need of love,ziko kama sita,check hiyo source hapo chini for further clarification,ndani ya hiki kitabu kinaelezea tofauti ya mahitaji kati ya mwanammke/mwanaume ktk upendo,na mwanaume kuna baadhi ya muda anataka kukaa mwenyewe ili aweze tatua matatizo yake,na mwanamke jinsi gani anahitaji companionship(kumsikiliza tu ili apunguze mzigo uliomuelemea) ktk matatizo yake,ila ndani yake kuna mambo mazuri mengi tu,na ofcourse ukikisoma utaona kinagusa maisha ya mapenzi yako unayoishi

BOOK
SOURCE: MAN ARE FROM MARS AND WOMEN ARE FROM VENUS
 
Kwa mimi kuwa mwanamme ananipenda
1. awe muwazi
2. awe na mda nami
3. anionyeshe upende mbele za watu, yani awe karibu nami nitokapo nae out
4. aniachie mambo ya jikoni niyasimamie mimi kama mwanamke
5. asiwe mbahili wa pesa
6. aniheshimu n.k

Hayo ni baadhi tuu katika kipimo changu.
Hilo la pesa linahitaji mjadala.
Mhh.. kwangu itakuwa ngumu..
 
kwa mimi kuwa mwanamme ananipenda
1. Awe muwazi
2. Awe na mda nami
3. Anionyeshe upende mbele za watu, yani awe karibu nami nitokapo nae out
4. Aniachie mambo ya jikoni niyasimamie mimi kama mwanamke
5. asiwe mbahili wa pesa
6. Aniheshimu n.k

hayo ni baadhi tuu katika kipimo changu.

dahh !!!
Basi mama.. Nimekoma mwenyewe, kumbe sisi wenye kipato kiduchu ndio maana kila kukicha wachuchu wetu wanachukuliwa na hao wasio mabahili a.k.a mapedejee.

Naomba nikuulize kidogo, sasa ikiwa nakupa minoti na sikufikishi kileleni kila tukicheza mchezo wa baba na mama.. Je hapo itakuwaje??
Utaendelea kuniweka kwenye kundi la supa man wako?/ aui utatafuta serengeti child??
 
1. utakuwa muwazi
Kwa kweli nipo muwazi sana
2. utampa muda kamili wa kukaa na wanaumme wenzake bila kupiga simu au kununa atakaporudi
kwa kweli he has his free time in this...na huwa sipigi simu...pengine awe kachelewa mida isiyo mizuri kama kuanzia saa sita usiku.
3. Useme unachotaka bila ya kutumia mapenzi au kitendo cha mapenzi kupata
Kivipi hapa sijakukata!
4. Ujue hali yake ya maisha na uweze kuishi ndani ya budget hiyo
Naielewa sana hali, na niliposema pesa, sio eti i wanted to build a house for my parent or just spend it unnecessarily, ni pesa ya kununulia vipodozi vyangu, nguo, viatu...all women needs.
5. Uwe muelewa na usijiachie i.e baada ya kuolewa usishinde kutwa na khanga mbili (ujitahidi kuleta "sex appeal"[/QUOTE]
Hapo nimekuelewa and am always smart in this part... i.e kuvaa sexy night gown na kujiremba...still he does not show any reaction about that! sio eti naacha naendelea kufanya hayo.
 
1. utakuwa muwazi
Kwa kweli nipo muwazi sana
2. utampa muda kamili wa kukaa na wanaumme wenzake bila kupiga simu au kununa atakaporudi
kwa kweli he has his free time in this...na huwa sipigi simu...pengine awe kachelewa mida isiyo mizuri kama kuanzia saa sita usiku.
3. Useme unachotaka bila ya kutumia mapenzi au kitendo cha mapenzi kupata
Kivipi hapa sijakukata!
4. Ujue hali yake ya maisha na uweze kuishi ndani ya budget hiyo
Naielewa sana hali, na niliposema pesa, sio eti i wanted to build a house for my parent or just spend it unnecessarily, ni pesa ya kununulia vipodozi vyangu, nguo, viatu...all women needs.
5. Uwe muelewa na usijiachie i.e baada ya kuolewa usishinde kutwa na khanga mbili (ujitahidi kuleta "sex appeal"
Hapo nimekuelewa and am always smart in this part... i.e kuvaa sexy night gown na kujiremba...still he does not show any reaction about that! sio eti naacha naendelea kufanya hayo.[/QUOTE]

Pole sana kwa jitihada zako ambazo hazizai matunda. Mwishowe nawe utaishia kutafuta nyumba ndogo maana jitihada zako hazionekani au haziwi appreciated na mwenzako.
 
kama alivyoandika mmoja wa waachangiaji, tatizo kubwa ni uwiano wa mahitaji ya mwanamke na mwanamme na vilevile tabia, mazoea au ujuzi wa mwenzio, kila mtu anamahitaji yake, pengine yeye anavyokufanyia anahisi anakuaonyesha mapenzi ya hali ya juu, na inawezekana anakupenda sana lakini kwako wewe huoni kama anamapenzi kwako,

kubwa ni kumsoma mwenzio, chukua muda kuongea naye na kumueleza ungependa akufanyie nini, akuambie maneno gani nk,
inawezekana aibadilike au aikufanyie immeadiately lakini atakuwa anafahamu nini unahitaji na with time atajifunza!! na atakufikisha upatakapo, fahamu kwamba mmetoka katika mazingira tofauti na pengine wote mlikuwa na wapenzi wa aina tofauti wakiwa na needs tofauti sasa kubadili si kazi ndogo, play your part, fanya kila uwezalo to be good wife, mueleze nini unapenda na unahitaji kwa mapenzi na upole (wanaume hawapendi kulazimishwa) mpe muda afanye mabadiliko, usichoke!!
tafadhali usijaribu kusema ngoja nimjaribu fulani namuona ana mapenzi labda atanifanyia nitakavyo utajidanganya, wanaume wanavyoonekana sio walivyo, na ndio maana marafiki au wanaokuzunguka wanakuona unapendwa!!

pia fahamu kuwa sie akina mama huwa ni ngumu ku-appreciate hiyo ni weekness yetu, mara nyingi tunaona hatupendwi au hatuthaminiwi, ondoa hiyo dhana na utaona tofauti, appereciate kwa kidogo anachokufanyia ili umpe moyo atende mazuri zaaidi!!
 
duh, requirements nyingi sana ndio maana hawezi kutimiza. Wanaosema anakupenda perhaps wana-base on two or at most three criteria.
1. Kuna level za kuwa muwazi la sivyo utaharibu
2. Muda inategemeana na lifestyle, kazi n.k
3. Watu wengine wana mapenzi ya ndani sio lazima waonyeshe outwardly [hii pia mie yanishinda]
4. Jikoni inategemeana, siku hizi watu wanaongelea gender equality, ama perhaps ndio mapenzi yenyewe hayo, anakusaidia!
5. Ubahili inategemeana na planning, na utofauti wa mitizamo kitu muhimu kwako chaweza kuwa sio muhimu kwake, inabidi mkae chini muongee vizuri
6. Hii sawa, sidhani mtu atakupenda halafu asikuheshimu

very relative and dynamic over time and space
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom