C client3 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2007 Posts 2,331 Reaction score 3,201 Jan 9, 2012 #1 nashangaa nlilikuwa nasafisha nyumba mara nikamwona buibui kakamatwa kwenye web yake mwenyewe kafa, nikajiuliza kumbe waweza tega ukanaswa kwenye mtego wako mwenyewe au ni wazembe kama wale nyumbu
nashangaa nlilikuwa nasafisha nyumba mara nikamwona buibui kakamatwa kwenye web yake mwenyewe kafa, nikajiuliza kumbe waweza tega ukanaswa kwenye mtego wako mwenyewe au ni wazembe kama wale nyumbu
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,484 Jan 9, 2012 #2 Kafa kwa kutegwa au alifia tu hapo? Huwezi jua/sema kwa uhakika. Pengine alikua amejipumzisha akafa na sio amekufa kwa kushindwa kujitoa.
Kafa kwa kutegwa au alifia tu hapo? Huwezi jua/sema kwa uhakika. Pengine alikua amejipumzisha akafa na sio amekufa kwa kushindwa kujitoa.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Jan 9, 2012 #3 alipatwa na heart attack, soma ripoti ya madaktari wake.
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,545 Jan 9, 2012 #4 pengine siku zake zilikuwa zimefika maskini....apumzike kusiko na hofu!!
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,909 Jan 9, 2012 #5 atakuwa alitema ule uzi ukakataa kutoka ukamnyongea ndani kwa ndani