Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Leo nimepata kaujanja haka kutoka kwa rafiki angu mmoja aliefunga ndoa na iPhones. Kumbe unawezapiga "screenshot" kwa kutumia simu hiyo hiyo ikajipiga picha yenyewe!
Huenda huja nielewa! Ebu ona hii nimetumia simu yangu kutoa mfano tu
Au
So ile page ambayo iko current unaiangalia unaweza ipiga picha ili uwe ushahidi hasa kwetu ambako ukanjanja umezidi
Sounds good?
Yes;; jinsi ya kufanya
1. Fungua ukurasa-facebook, Jf, sms, email au hata picha ktk screen yako
2. Bonyeza button hizi kwa wkt 1, ya kuwasha simu na "home button" yani ile button unayoitumia mara nyingi
3. Utasikia click ya picha kupigwa
4. Nenda kwenye picture library utaikuta
Jaribu sasa,
Cheers