Hivi kuna mtu anaifahamu iPhone 100%? Dah sawa nimeona comment zenyu lkn wengine ni kama morons tu vile mnakejeli, mara iphone new user n bla bla.
Kwa vile hii kitu ni technology, no need ya kumcriticise mtu hata kdg. Hii inaweza katisha tamaa mtu anaefeel kushare kitu ambacho yeye aona ni kipya kwake. Afu mburulaz ndio wanakuwaga na kelele sana
sina maana ya kuku crash au whatever..ila mbona hii ni design kitambo sana iphone inafanya hivyo..na hata s3 pia mana nilikua namringishiaga mwana mmoja akanilipa kwa s3 yake pia..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.