Kunani mashuleni sekondari?

Kunani mashuleni sekondari?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,444
Reaction score
69,265
Without bias.

Hivi ndugu zangu hili la mwanafunzi kupata "A" katika mitihani yake ya kidato cha sita; Anajiunga na chuo kikuu na ukimuuliza ni maswali kuhusu masomo hayo anakuwa hajui kitu hivi huko mashuleni kuna nini?

Mwanafunzi kapata "A" ya History unamuuliza habu linganisha kati ya Marxism na Ujamaa wa Tanzania anashindwa. Kibaya zaidi hata ujamaa hajui ni nini.Watoto wanasoma Private za gharama na ufaulu mkubwa lakini inakuwa shida sana kuelewa wamesoma nini kweli kwa muda wote.

Mwingine anasoma Sheria chuo kama Dar es salaam, Mzumbe au SAUT unamwambia andika proper legal essay inawasumbua sana.

Kuna binti moja katoka kusoma shule fulani ya gharama na kapata ufaulu wa "A" kwenye somo la lugha lakini unamwambia unaruhusiwa kuanza na "BUT" na "AND'' kwenye sentensi anakwambia siyo sahihi.SERIOUSLY?

Kuna jamaa yangu moja anafundisha PSPA UDSM aliniambia siku hizi ndiyo anajaribu kusoma kuwaambia wanafunzi wasome materials tofauti.Wanafunzi wengi Wanaifahamu historia ya Africa katika minajili ya MARXISM tu as an influential ideology in Africa.

Watazungumzia Influence of Christianity and Islam; but is that SO?Everything is imported. Even Philosophy.
Mbona zamani watu walikuwa wanajua vitu vingi jamani?

Mwanafunzi wa PSPA, BA, LLB or JD or whatever walikuwa wanajua vitu?
Inaleta shida unakuta lecturer anaanza kufundisha upya tena mambo ambayo mwanafunzi angetakiwa ayasome sekondari.

East Africa na Central mbona wanafunzi wetu walikuwa wanaaminika kweli. Sasa kwa mwendo huu hadi inasikitisha.Hawa watoto kesho ndiyo tutawangalia kama majudge; wanauchumi; madaktari; wanasiasa; wanausalama wetu; wanadiplomasia na n.k

Sasa hivi tatizo linakuwa nini hadi watoto wanakuwa hivi?
Je, ni walimu?
Je, ni wazazi?
Je, ni jamii nzima?
Je, Serikali yetu (WIZARA YA ELIMU)

AU ni watoto wenyewe wameharibiwa na UTANDAWAZI kama tunavyosema?

 
unachoongea ni ukweli kabisa sasa vijana wengi pamoja na kufaulu uelewa wao ni mdogo mfano mdogo angalia hapa jamii forum wanashindwa kujenga hoja na kama ungekuwa umepost uzi wa magufuli au lowasa ungewaona wanavyokimbilia kujadili na mbaya zaidi wanajadili pumba haya ndio mambo muhimu wagombea wangetakiwa kuzungumzia ubora wa elimu yetu
 
Mkuu hii hoja yako ni ya msingi. Tatizo kubwa ni mitaala na kingine kila kukicha serikali inaweka mikakati ya kuboresha matokeo badala ya kuboresha elimu ili mwanafunzi kichwani mwake ijae vitu vya maana na awe na uelewa na ufahamu mkubwa wa kupbanua mambo na kujenga hoja.
Sio hapo tu ndio maana hata graduates ni shida kubuni njia mbalimbali za kuanzisha kitegauchumi na akawa chanzo cha ajira badala ya kusubiri kuajoriwa.
Kama mwalimu na viongozi wetu wanaotufanyia maamuzi huko wizarani na idara mbalimbali walifaulu kiujanjaujanja au waliwekana bila ya sifa thabiti unafikiri ipo siku watakuja na jambo lolote jipya la kuboresha elimu yetu.
Nawakilisha.
 
Lishe duni miaka hii, watu wanasoma alafu ndani ya dakika kumi anakuwa kasahau kabisa. Virutubisho vinavyoujenga ubongo vinakosekana, siku hizi mdebwedo sana

kuna watu wameshindia mlo moja,
na wametembea kilomita zaidi ya saba kufika shuleni tena peku.
Lakini leo ni wasomi wazuri tu.
 
Tatizo ni serikali imeshindwa kusimamia elimu yetu, mitahara inabadirishwa ovyo sababu imekua ni biashara watunzi wa vitabu vya mashuleni ni hawa wanasiasa,
Miaka ya nyuma mpaka mwaka 2001 hivyi mtu alikuwa akifahuru shule za serikali anajivunia na mtahani anaonekana yuko vizuri kichwani na viongozi wakubwa walikua wanaonga watoto wao wasome shule za serikali.
Leo hii shule zote za serikali zimekufa ata mwanao akifahuru kwenye shule hizi unamtafutia shule ya binafsi.
Tatizo kubwa mimi nililiona sasa elimu tumeirahisisha sana tunatafuta njia ya mtoto kafuhur kwa kujua maswali na majibu kuliko kuelewa
Kusoma sana summary za notes, kuliko kusoma notes zenyewe na vitabu,
Tunatakiwa tuangalie wapi tumekosea na tunaelekea wapi
Na usimamizi mkubwa unatakiwa kuwekwa kwa walimu
 
Bravo H;

Na usimamizi mkubwa unatakiwa kuwekwa kwa walimu

kuna binti ameanza ajira yake ya Ualimu mwaka huu.
Kanithibitishia kwamba hajawahi kufanyiwa usahili wowote ule na kazi ameanza.
Tena naambiwa inapita miezi sita kunabaadhi ya shule hazifanyiwi ukaguzi wowote kwa walimu na wanafunzi.

Why do we PIGEON-HOLE EDUCATION???
Hivi hatutengenezi taifa la wajinga kweli???
 
Last edited by a moderator:
japo huwezi kushika vitu vyote kichwani maana hata A sio 100% inaanzia 80 , unaweza jua vitu vingi akashindwa hicho ulouliza.

japo hawa BRN wako empty sanaaaa
 
BADILI TABIA;

Elimu ya siku hizi ni kukariri na kujua kuongea kiingereza

Mimi nikajua huko Private kuna ahueni; to my suprise nakuta mara nyingine wanafunzi wa serikalini ni bora mara mia.
wazazi wanalipa mamilioni ya Pesa lakini watoto bado wanatia huruma.

Sasa jiulize ni wazazi wangapi wanaweza kuwalipia watoto wao wasome GCCE (General Cambridge Certificate of Education).
Its really sad
 
Last edited by a moderator:
japo huwezi kushika vitu vyote kichwani maana hata A sio 100% inaanzia 80 , unaweza jua vitu vingi akashindwa hicho ulouliza.

japo hawa BRN wako empty sanaaaa

Hatutaki mwanafunzi akariri.
Tunataka mwanafunzi awe na uelewa mpana wa mambo.
Hii inasaidia kwenye brainstorming and internalization of new materials.

Hatutaki upate ''A'' ambayo application yake ni limited.
Masomo kama Historia na Lugha ni pillars kwa wale wote ambao watasoma BA au LLB(JD),
Huku chuo kikuu kuna masomo kama PUBLIC INTERNATIONAL LAW; CONSTITUTIONAL LAW; HUMAN RIGHTS and DIPLOMACY just to mention few.
tunategemea mtu anyesoma PSPA au SHERIA ayajue vizuri haya masomo na ufaulu katika historia na lugha unasaidia kwa kiasi kikubwa mwanafunzi kuyaelewa haya masomo.


 
Huu uzi ulitakiwa upate wachangiaji wengi kwa kila mwenye uchungu na elimu ya watoto wetu.
Ila ingekua ni ishu ya MMU au UKAWA ungekua ushafika mbali.

Tanganyika nakupenda Tanganyika yangu.
 
Mkuu market economy imeleta shida.Nani kakwambia kua private wanashinda sababu wanafundishwa vizuri.Mitihani inaibwa kama kawaida nani kwa namna nyingine ambayo sio rahisi kuigundua mkuu.Hamna cha elimu hapq bongo.
 
Mkuu hii hoja yako ni ya msingi. Tatizo kubwa ni mitaala na kingine kila kukicha serikali inaweka mikakati ya kuboresha matokeo badala ya kuboresha elimu ili mwanafunzi kichwani mwake ijae vitu vya maana na awe na uelewa na ufahamu mkubwa wa kupbanua mambo na kujenga hoja.
Sio hapo tu ndio maana hata graduates ni shida kubuni njia mbalimbali za kuanzisha kitegauchumi na akawa chanzo cha ajira badala ya kusubiri kuajoriwa.
Kama mwalimu na viongozi wetu wanaotufanyia maamuzi huko wizarani na idara mbalimbali walifaulu kiujanjaujanja au waliwekana bila ya sifa thabiti unafikiri ipo siku watakuja na jambo lolote jipya la kuboresha elimu yetu.
Nawakilisha.

watanzania wamerogwa suluhisho wamtafute aliewaroga ili awatoe urogi
 
elimu yetu kwakwel...xa hv tatizo linahamia vyuoni...vyuo vyetu vimekaa kibiashara sana havitoi elimu bora..
mwanafunz wa CBG, CBN,CBA, anasoma engineering ukitaka proof nenda st.Joseph
kutoa sup n dil vyuon elfu 30 kutoa sup IFM pale....
 
Cobblepots

nyie endeleeni kushangaa tu huko maofisini,sisi tuliopo kwenye field ya ualimu tunajua yanayoendelea hapa Tz• Ukweli nikwamba matokeo yanapikwa na serikali inadanganya tu watu kuwa ufaulu umeongezeka• Mtoto unamfundisha miaka yote ya masomo yake hapati hata C ila utashangaa majibu ya necta yakitoka ana A!!
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA;



Mimi nikajua huko Private kuna ahueni; to my suprise nakuta mara nyingine wanafunzi wa serikalini ni bora mara mia.
wazazi wanalipa mamilioni ya Pesa lakini watoto bado wanatia huruma.

Sasa jiulize ni wazazi wangapi wanaweza kuwalipia watoto wao wasome GCCE (General Cambridge Certificate of Education).
Its really sad


we unashangaa hayo....
kuna mwanachuo alikuwa anasoma kozi ya PS {political science}, alituuliza swali "MWAKA HUU -2015 KIKWETE ANAGOMBEA NA NANI?"
Tukabaki tunashangaa
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli inasikitisha
Hili tatizo limeanzia mbali na lina mizizi mirefu.
Kuna sababu km serikali kuchagua wanafunzi wa form IV waliopata division four ya mwisho kuwa walimu; yy mwenyewe kafeli atamfundisha nn mwanafunzi?
Mtaala wa 2005 ni majanga;
Sera mbovu ya elimu;
Lishe duni ( kwenye baadhi ya mikoa km Lindi hili ni tatizo kubwa)
Utandawazi- matumizi mabaya ya media etc etc.
 
Back
Top Bottom