Kunani Foleni Dar Jumanne jioni?

Afri-Cast

Member
Apr 1, 2020
49
107
Wakuu nmetokea msasani naelekea Tegeta, barabara zote zimefunga, kuna update juu ya tatizo linalosababisha foleni hii kali? Nimejaribu njia ya chini tabu, Mwenge pia foleni kali

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom