Kunani CHADEMA?

Unatafuta wa KUKUZIBUA? Maana husikii vizuri

tatizo lako ni moja. hukubali wawazo mbadala. unataka mtu asifie chadema ndiyo utamuelewa. nenda kwa daktari ukatibiwe huo upofu ili uweze kuyasoma vizuri yaliyoandikwa ktk thread hii ya chdm kunani?
 
Hata kama ulichosema ni cha kweli, lakini nguvu
hyo tuitumie kwa huyu aliyeko madarakani mbona ana matatizo
mengi ww kama mchambuzi umechukua hatua gani?
 
Back
Top Bottom