Kunani Arumeru mashariki na mangharibi mkoani Arusha..?


SOKETI

SOKETI

Senior Member
Joined
Jul 24, 2010
Messages
194
Likes
9
Points
35
SOKETI

SOKETI

Senior Member
Joined Jul 24, 2010
194 9 35
Nimekua nikifatilia matokeo ya awali usiku kucha katika vituo vya televisheni za TBC pamoja na Chanel10..pasipo kusikia matokeo wala yaliyojiri ktk majimbo hayo.
kunani huko mbona sikusikii kabisa au ndo wanataka kuchakachua ilo tokeo...
 

Forum statistics

Threads 1,252,209
Members 482,043
Posts 29,800,539