Kunako 'faragha' hili limekaaje....?

Sheshejr

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
434
82
Wakati wa ku-do sex, jaman mwenzenu huwa natokwa na jasho jingi kupitilza mwil mzima hadi shuka huwa znakuwa ka zmemwagiwa maji, ivi leo nina bed match, nimetoka bafuni baada ya 3rd scoring kuuacha mwil ukiwa tepe tepe kwa jasho, suluhisho kwa hili ni nn?
 
Dogo acha papara uwapo mzigoni. Hiyo shughuli haitaki miguvu wala kupaniki wala nini, piga mzigo taratibu. Ongezea na Feni kwa pembeni halafu utaniambia.
 
Dah mwenzio huwa napatwa na spidi ghafla mambo yanapokaribia kujipa.
 
Hiyo ni hali ya kawaida kwa mwili wenye mafuta mengi,hat ukipiga zoezi lolote jasho ka umemwagiwa maji,mie mwenyewe nna hiyo hali mpaka dr. Alinshauri nisijipake mafut yeyote na bado nang'aa ka andazi so don worry
 
duh..., nimekupata mkubwa....
 
.....kawaida. ila jihadhari. Wahitaji chumba chenye hewa yakutosha, na uwe na maji ya kunywa yakutosha....la sivyo ipo siku utakaukia 'kifuani'...
 
maji humfanya mtu atokwe sana na jasho
 
Wakati wa ku-do sex, jaman mwenzenu huwa natokwa na jasho jingi kupitilza mwil mzima hadi shuka huwa znakuwa ka zmemwagiwa maji, ivi leo nina bed match, nimetoka bafuni baada ya 3rd scoring kuuacha mwil ukiwa tepe tepe kwa jasho, suluhisho kwa hili ni nn?

usikute hata unapofikia mshindo unaishia na kujamba kabisa kama sio kujinyea!
 
Wakati wa ku-do sex, jaman mwenzenu huwa natokwa na jasho jingi kupitilza mwil mzima hadi shuka huwa znakuwa ka zmemwagiwa maji, ivi leo nina bed match, nimetoka bafuni baada ya 3rd scoring kuuacha mwil ukiwa tepe tepe kwa jasho, suluhisho kwa hili ni nn?
Kwani bao la pili unachukua mda gani? au unakua na firaha sana unapoahidiwa mechi mpaka unapitiliza,ebu jaribu kufanya kama jambo la kawaida na wala usiweke kwenye akili yako lile neno atanitambua leo halafu uangalie.....akaa! mpaka shuka zinakua kama zimetiwa maji unatwanga makopa au mpunga mwenzetu? pole pole utamumiza huyooo....
 
Dogo acha papara uwapo mzigoni. Hiyo shughuli haitaki miguvu wala kupaniki wala nini, piga mzigo taratibu. Ongezea na Feni kwa pembeni halafu utaniambia.

Inawezekana kijana anakula mzigo kama anampa adhabu kwa mpenzi ndio maana inakuwa hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom