Kunako 'faragha' hili limekaaje....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunako 'faragha' hili limekaaje....?

Discussion in 'JF Doctor' started by Sheshejr, May 1, 2012.

 1. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakati wa ku-do sex, jaman mwenzenu huwa natokwa na jasho jingi kupitilza mwil mzima hadi shuka huwa znakuwa ka zmemwagiwa maji, ivi leo nina bed match, nimetoka bafuni baada ya 3rd scoring kuuacha mwil ukiwa tepe tepe kwa jasho, suluhisho kwa hili ni nn?
   
 2. B

  Baba Ashrat Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jinsia gani wewe?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  peleka jf doctor..
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  jipake ma-powderrrrr kama masanja mkandamizaji..
   
 5. M

  Mama Ashrat Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Loh!!


  Mtoa mada inawezekana shughuli yako ni pevu. Ukikimbia/fanya mazoezi inakuwaje?!
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Dogo acha papara uwapo mzigoni. Hiyo shughuli haitaki miguvu wala kupaniki wala nini, piga mzigo taratibu. Ongezea na Feni kwa pembeni halafu utaniambia.
   
 7. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dah mwenzio huwa napatwa na spidi ghafla mambo yanapokaribia kujipa.
   
 8. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Baba ashrat mie .....me.
   
 9. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  pocbly huwa ni pevu, in acordance to feedback ninayoipata, hata nikpga tiz huwa sion tofaut.
   
 10. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hiyo ni hali ya kawaida kwa mwili wenye mafuta mengi,hat ukipiga zoezi lolote jasho ka umemwagiwa maji,mie mwenyewe nna hiyo hali mpaka dr. Alinshauri nisijipake mafut yeyote na bado nang'aa ka andazi so don worry
   
 11. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  huon kuwa itanicost sana kila tym/mshndo niwe naweka ma-powderrr!!?
   
 12. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  duh..., nimekupata mkubwa....
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  .....kawaida. ila jihadhari. Wahitaji chumba chenye hewa yakutosha, na uwe na maji ya kunywa yakutosha....la sivyo ipo siku utakaukia 'kifuani'...
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  maji humfanya mtu atokwe sana na jasho
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  usikute hata unapofikia mshindo unaishia na kujamba kabisa kama sio kujinyea!
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwani bao la pili unachukua mda gani? au unakua na firaha sana unapoahidiwa mechi mpaka unapitiliza,ebu jaribu kufanya kama jambo la kawaida na wala usiweke kwenye akili yako lile neno atanitambua leo halafu uangalie.....akaa! mpaka shuka zinakua kama zimetiwa maji unatwanga makopa au mpunga mwenzetu? pole pole utamumiza huyooo....
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  hata mimi kama wewe ni matokeo ya shughuri kuwa byee
   
 18. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  buhahahahaha we balaa sasa mapowder jasho si ndio itazidi.
   
 19. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Inawezekana kijana anakula mzigo kama anampa adhabu kwa mpenzi ndio maana inakuwa hivyo.
   
 20. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hahahahahaha hii balaaaa.
   
Loading...