kunaambae ameshaomba nafasi za kazi ngorongoro baada ya tangazo kurudiwa tena?

Hawajaweka kivipi mkuu,

Fungua account, jaza taarifa zako, attach vyeti, cv na application letter. Fanya declaration ya taarifa zako,
Baada ya hapo click option ya vacancies utazikuta nafasi za kazi, chagua unayoitaka then click apply.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua website yao afu anza registration, ni online aplication mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama kuna aliefanikiwa kuomba anisaidia, namna ya kuattach zile document mana sion option hio

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu ukienda kwenye attachment ukiingia unakuta imesema new attachment bonyeza apo afu choose file kisha upload, ukimaliza attach tena document ingine, usije ukajoin attachments document zote you will be disregarded kama walivosema, so attach kila moja kivyake zingatia hilo.
 
Kazi yote hiyo unakuta jamaa hata hawasomi!kuna mtu wao walishamteua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…