kunaambae ameshaomba nafasi za kazi ngorongoro baada ya tangazo kurudiwa tena?

wakuu naomba nifahamu kama kunamtu ambae ameshaomba kazi katika post za NCAA Ngorongoro kama ilivyoelekezwa katika tangazo la pili baada lile la kwanza kusitishwa. wanataka maombi yapitie kwenye recruitment portal yao RECRUITMENT PORTAL ila cha ajabu Hawajaweka link ya kuapply
Hawajaweka kivipi mkuu,

Fungua account, jaza taarifa zako, attach vyeti, cv na application letter. Fanya declaration ya taarifa zako,
Baada ya hapo click option ya vacancies utazikuta nafasi za kazi, chagua unayoitaka then click apply.
Screenshot_20190228-160613.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua website yao afu anza registration, ni online aplication mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama kuna aliefanikiwa kuomba anisaidia, namna ya kuattach zile document mana sion option hio

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu ukienda kwenye attachment ukiingia unakuta imesema new attachment bonyeza apo afu choose file kisha upload, ukimaliza attach tena document ingine, usije ukajoin attachments document zote you will be disregarded kama walivosema, so attach kila moja kivyake zingatia hilo.
 
Kazi yote hiyo unakuta jamaa hata hawasomi!kuna mtu wao walishamteua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom