Kuna wizi mkubwa katika matumizi ya kadi ya mabasi ya mwendo kasi

Una matatizo kijana, hivi mpaka nikaamua kutoa taarifa hii unadhani sijafanya utafiti?
....yani mwezi mmoja na nusu ndo umekuja na maelezo yasiyojitosheleza vile?...au ulitaka kuuza nyago?.
..angalau michango ya wadau inatoa picha nini kinajadiliwa,ila post yako ya awali zero kabisa!
....na uchunguzi gani hukuongea na mamlaka husika!
....uongezewe muda ama uchangiwe posho?
 
Una matatizo kijana, hivi mpaka nikaamua kutoa taarifa hii unadhani sijafanya utafiti?
Nashukuru kwa utafiti wako, ila pia kama haujasoma komment yangu ya kwanza nawe una matatizo, mimi nimeandika huwa siibiwi, sasa usilazimishe kuwa huwa naibiwa. Nimeongea vizuro comment yangu ya kwanza!
 
Jamani tuweni makini na hizi tuhuma, haitoshi tu kusema "hela zangu zinapotea". Umechukua hatua gani? Uliomba report ukadhibitisha kabla ya kuanza kutuhumu?
Mkuu Report ndio hii inayotolewa humu....unataka watu tukapange Foleni kwenye Ofisi zao..Habari waipate hapa...kwamba wanatuibia....
 
Report ya mtu kusema "naibiwa", hebu tuacheni masihara.
Ndugu sisi wengine hatuna huo muda wa kwenda kupanga Foleni kwenye Ofisi zao kwakua wanapita humu...watajua kumbe tuliowengi...tumeshtukia kuwa wanatuibia...
 
kama una ushahidi wa kutosha wakati wa kuhitaji huo ushahidi usisite kutoa ushirikiano. wakati wa utafiti wako ukiwa unatoka huwa unacheck out? pia naamini unajua pindi uzi wako usipokuwa na ukweli hao jamaa walivyo na njaa lazima mburuzane mahakamani
 
Hujaelewa,wew una scan mara sita ndio salama yako kwa tafsir ingine uwa unascan unapopanda tu ukishuka huscan ndio maana inakukata mara moja,ila kama unascan na unaposhuka itakukata marabil kwa mujib wa mtoa mada
Acha kubisha usichokielewaa,sasa kama huwa si scan ninaposhuka huwa napita vipi sasa?.Ukitoka nje ya kituo ni lazima u scan ili kile kidude kifunguke upite huwez kupita bila ku scan hilo ulielewe..Kwa hiyo ninachokiongea nakielewa sio kubahatisha,hata leo nimetumia card yangu pia ambayo mara ya mwisho ku load ilikuwa juma pili iliyopita sh 5000.Mimi sibish moja kwa moja kwamba labda kuna wizi flani,bali ninachokipinga ni mnachokisema kwamba kuna 'double deduction' Hiyo mimi sikubaliani nayo.
 
Sema hamjuwi tu kuitumia teknolojia.

Wengine mbona wanakiri humu inakata mara moja tu.
Yah,Mfano mimi huwa nina Load sh 5000 kila wiki na huwa nina scan mara 7 au 8..Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kama ni halali tuu..Inawezekana labda kukawa na some errors katika mfumo sababu mifumo hii sio kila siku itafanya kaz kwa 100%.Lakini kwa suala la 'Double Deduction'kama mleta mada alivyowasilisha mimi nakataa,Grandma.
 
Mi natumia kadi yangu siku zote tena napanda mpaka mbezi.

Sijawahi kukatwa mara mbili na huwa naweka track ya safari na kabla ya kuongeza salio huwa naomba salio.

Halafu ukiscan mara moja mashine ikasoma ukijaribu kuscan tena itakuambia ALREADY VALIDATED" na kukutaka utumie OTHER LANE.

Kwenye famili wote tunatumia jumatatu hadi ijumaa, hatujaona hilo tatizo na hata hapa ofisini wenzangu hawajaona.

Wanaosema wamekatwa mara mbili kuna mawili

1. Wanaponunua au kuongeza salio hupewa pungufu na pesa waliyotoa kwa sababu watanzania hatupendi kuchukua au kusoma risiti.

2. Watu wanadhani kama watasafiri ndani ya masaa mawili hata kama wametoka nje ya kituo unatumia nauli ya awali.

Jeriko kama umefanya utafiti kweli, tuwekee risiti za manunuzi hapa, na utueleze umesafiri mara ngapi.

Ni rahisi sana kujua matumizi yako kwa kuomba statement ya kadi yako.

Asante.
 
Sijui kama atakuja
 
Siyo tatizo la kiufundi,imesetiwa hivyo ili KUWAIBIA wananchi ili baadae waseme kulikuwa na matatizo.
Pia yawezekana baadhi ya Kadi zimesetiwa hivo .kugundua hiyo sio rahisi,ndio inaweza tokea kitu kama hiki wengine hawapati tatizo lakini aliyeseti anajua ameseti Kadi ngapi?nasema inawezekana
 
Back
Top Bottom