Kama kweli wamempiga, basi kuna shida mahali sio bure! Nashauri askari wa upelelezi/ uchunguzi wawe na elimu isiyopungua degree maana hawa wa la saba na form 4 walio wengi hawana wanachojua zaidi ya kutisha na kupiga makofi. Watu wenye elimu hujiuliza maswali kabla ya kutenda, wasio na elimu hufanya kwanza then baadaye ndo wanaanza kujiuliza imekuwaje!