Nimeshindwa kuelewa ni bahati mbaya au ni kwa makusudi, nilikuwa najaribu kusoma tukio furani
nimefungua zaidi ya mara tano napata message hii hapo kwenye picha
sina lengo la kugombanisha/ kuaribu au kuchonganisha lakini hii ni hatari kwa watumiji wa mitandoa,
mimi sio mtaalamu sana wa mambo haya lakini ka pc kangu kana kinga wakuu, hii inatuambia nini?