Kuna website za watanzania wenzetu kuna virusi, watch out......

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
Nimeshindwa kuelewa ni bahati mbaya au ni kwa makusudi, nilikuwa najaribu kusoma tukio furani
nimefungua zaidi ya mara tano napata message hii hapo kwenye picha

mail
 
sina lengo la kugombanisha/ kuaribu au kuchonganisha lakini hii ni hatari kwa watumiji wa mitandoa,
mimi sio mtaalamu sana wa mambo haya lakini ka pc kangu kana kinga wakuu, hii inatuambia nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom