comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,390
- 17,075
Alikosea sana kuamini watu kwenye mission yake...alitakiwa apambane pekeakeKulingana na press ya mwisho ya slowslow anasema kuna wazee ambao walikua na misimamo ila nao washalambishwa asali, baada ya uchaguzi watasimamia maridhiano ya kitaifa ili kuhalalisha yaliyotokea yote.
Na moja ya mzee huyo jana kaonyesha kweli kalamba asali, na siku za nyuma polepole alishawahi kusema huyo mzee na mwingne kama wawili hivi ndio kama walezi wake.
Je?! inawezekana wazee/Mzee huyo baada ya kulamba asali alikua anajua location alipo bwana slowslow akamuuza??
Mzee ButikuAlikosea sana kuamini watu kwenye mission yake...alitakiwa apambane pekeake
Don't trust anyone in your missionMzee Butiku
Huyo Mzee snitch namba 1 wa HPDon't trust anyone in your mission
Kauzwa, wabongo wengi tuna tamaa ya hela na umaskin ni shida, TUJITAFAKARI kwa mfano mimi natafutwa na wanamtandao, hawajui nilipo, wewe ni mzee wangu mlezi,wakakuwekea begi la b5 mezani utaje location tu nilipo utakataa kweli?Alikosea sana kuamini watu kwenye mission yake...alitakiwa apambane pekeake
Ni hatariKuna mzee kauza file kmkke don't trust anybody give them wrong details
Kuna reply hapo chin nimeandika kitu kinafanana na hichi, mtanzania yoyote hata au mzazi wako, usimuamin, mtanzania akishawekewe beg la hela mezani hawazi marambili anakuuza halafu anaenda kutubuInaonekana hata wengine waliolalamima ni kwavile hawamo kwenye buyu la asali...
Sasa wazee wote wadumbukizwe kwenye buyu la asali halafu atakaetoa mlio wa kukemea akiwa ndani ya buyu la asali ndo mzalendo wa kweli. Au mnasemaje wadau
Hela haikataliwi. Kuna wajumbe wa chama kile wanakula hela yako halafu kwenye kura za maoni wanakushangaza.Kuna reply hapo chin nimeandika kitu kinafanana na hichi, mtanzania yoyote hata au mzazi wako, usimuamin, mtanzania akishawekewe beg la hela mezani hawazi marambili anakuuza halafu anaenda kutubu
kwa ile press inaonekana kabisa alikuwa chini ya ulinzi na pole pole alishasemaNasikia ndio aliyechoma location
Kama ni kweli basi mzee wa kikurya sijui mzanaki wa hovyokwa ile press inaonekana kabisa alikuwa chini ya ulinzi na pole pole alishasema
🤣🤣🤣🤣Sio location Hawa wazee hat Tigo wanaweza uza
Nasikia ndio aliyechoma location