Kuna watu wanakula maisha nyieee

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,555
Reaction score
4,080
Hii ni bili ya masaa machache tu, mtu anadaiwa milioni 23 na ushee kwenye vinywaji! Wewe ulishawahi kuletewa bili kubwa ya sh ngapi?

Mbona kwa haraka haraka tu haifiki hiyo hela? Hapo nadhani moral of the story ni jamaa kubambikiwa hiyo profoma sio sahihi, Halafu hiyo sio bill bhana ni just profoma ambayo anaweza akalipa au asilipe kwani ni kabla ya matumizi
 
Inafika
 
Acha kushangaa mambo madogo kijana
Hii profoma yangu uliipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…