G
guest-1787677467
Guest
Hahaahaaaa, hata mimi sijamuelewa anamaanisha nini kwenye kauli hii.Mwingine anakukuta mahali umekaa kwa kutulia anakupulizia hewa ya mdomoni mwake! Sipendi
MKUU FAFANUA HAPA UNAPULIZIWAJE HEWA YA MDOMONI?
unamiaka mingapi?