Kuna watu wanajua kushereheka, we acha tu!

MO11umezidi sasa khaa....hata kama ndo kwa hisani ya viroba that's too much..!!
 
Last edited by a moderator:
Haa Haa
Yaani yupo kwenye mbolea (Minjingu)
 
heeee! anampandisha juu ya meza kwa kchwa??????
 
MO11umezidi sasa khaa....hata kama ndo kwa hisani ya viroba that's too much..!!

picha nimeiangalia nimecheka kuja kukutana na jina langu ndio umeua mbavu zangu zotee

ha ha ha ha ha
akitoka hapo jasho la chumvini asiponawa uso akilala atakapoamka ni kutu usoni
aibu utaona wewe
 
Last edited by a moderator:
Kheeeeeeee MO11 umenichekeshaje
 
Last edited by a moderator:
huyo wa pembeni nae balaa... anacheka kwa uroda huku jamaa anajimalizia mambo zake... si unamuona alivyo bize behind!
 
picha nimeiangalia nimecheka kuja kukutana na jina langu ndio umeua mbavu zangu zotee

ha ha ha ha ha
akitoka hapo jasho la chumvini asiponawa uso akilala atakapoamka ni kutu usoni
aibu utaona wewe

Hahahaa aibu yake itabidi tu nijifiche
 
aiseee babayangu hapo akiachia kijambo huyo jamaa si atapofuka macho
 
Kipensi nina uhakika hakijavaliwa hakijavaliwa chupi kwa ndani sasa jamaa!

Uvinza hiyo, nasty, nasty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…