Kuna watu wanaishi vizuri sana, tembea uone

Mjengo wa maana
Screenshot_20210811-110724_Instagram.jpg
 
Nashangaaga sana mtu anaenda sehemu nzuri anaogopa kushangaa eti ataonekana mshamba, mimi sivungagi asee Penye kushangaa na kuacha mdomo wazi nashangaa na mate yakidondoka yadondoke.

Kuna watu wanaishi buana, unakaa kwenye kochi tu unahisi bado ume elea kumbe ndio ushakaa hvyo, sasa kwann nisi simame upya nirudie kukaa nione inavyokua...
 
wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta...
Kuna watu wajinga hasa wale washika dini, wanakomaa kumfuata Yesu kwa sababu wameahidiwa vitu kama hivyo.
Yaani mtu anaweka imagination kichwani za mbinguni kukoje kumbe ni kuingia chaka
 
Toa kafara ndugu mmoja aliekaa kifalafala ili 10 mliobaki muishi kwa raha
 
Palipo maslahi, usisite kuamua kuharibu
Ingali upo hai, utatubu dhambi taratibu.. - fidQ
 
Napenda sana nyumba zilizoenda juuu namna hiiii...

Hizi nyumba tunazowekeana vipimo vya urefu na upana (eti ndio kawaida) sitaki kabisa.

Labda kwa nyumba za biashara ila nyumba ya kuishi vitu namna hiyo asee.
Kwenye ujenzi no matter nyumba ni ndogo au kubwa akikisha umeweka madirisha makubwa na nyumba iwe ndefu kuruhusu hewa izunguke pia usiweke makorokoro mengi ndani. Weka vitu vichache vya maana
 
Kwenye ujenzi no matter nyumba ni ndogo au kubwa akikisha umeweka madirisha makubwa na nyumba iwe ndefu kuruhusu hewa izunguke pia usiweke makorokoro mengi ndani. Weka vitu vichache vya maana
Kweli kabisa siyo unajaza vitu ndani kabati la vyombo hadi sitting room wakat jikon kuna kabat
 
Back
Top Bottom