Kuna watu Wana pesa cheki bill hiyo!

Nimetoa FB tena ya mwezi huu tarehe za mwishoni aisee wakuu si mnisaidie hela ya mlo mmoja tu usiku 😳

View attachment 3482005
Hela ya kawaida tu sema pesa ya Tanzania haina thamani.

Hiyo pesa haijafika hata US $1,500.

Weekend iliyopita tumeenda dinner ya familia bill imepita kidogo kama $ 1,000 na kalipa mtu mmoja tu.

Mtu wa kawaida tu wala si wa mashauzi.

Hajapiga picha wala ku post kwa sababu we do this regularly.
 
Inaonekana huyo mteja hakuwa peke yake, walikuwa kampani ya watu 6/7 hivi ukiangalia vyakula walivyoagiza

Kwa hiyo bill wakigawana kulipa, roughly kila mmoja atalipia 563,400 hivi

Siku hizi Wanawake wengi wanafanya sana mitoko ya pamoja na marafiki

Wanaagiza vyakula+Vinywaji n.k Kwa bill ya kuchangia donations
 
Unalinganisha US na TZ....

Hiyo pesa kiTZ ni nyingi sana.

Ki-US hiyo pesa sawa na dola 10k....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…