Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Umefika 30+ hajaoa lakini nyumba yako inapendeza. Unapenda sana umaridadi hata dining table yako ni ya kioo na sofa za leather. Jumamosi asubuhi unapolish meza na unasafisha nyumba ndiyo tmroutine uliyojijengea.
Rafiki zako wanapenda kuja kuangalia mpira kwako. Na Mara nyingi wanaleta vinywaji na vitafunio kama si kuchoma nyama hapo.
Umri unakwenda na unekutana na huyu dada ambae roho yako imempenda. Unaamua kumuoa kwa harusi ya kufana sana. Sasa tangu uoe mke hana mpangilio kabisa wa nyumba. Ile dining table haipati polish. Unaweza kurudi kutoka kazini unakuta khanga imetupwa juu ya kochi. Unaona aibu hata kukaribisha marafiki nyumbani.