Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,632
Facebook account ni Suleiman Othman
Sijapenda kabisa kauli ya huyu jamaa aliyoitoa katika mtandao wa Facebook
Kama huupendi ungeachana nao hukohuko kuliko kuusambaza huku.![]()
Facebook account ni Suleiman Othman
Sijapenda kabisa kauli ya huyu jamaa aliyoitoa katika mtandao wa Facebook
Huyo ni bwabwa alafu............Nimecheki posts zake huko fb ni mjinga mjinga sana
No. He is just a TISS agent copycat. Kirefu cha TISS kina 'security services' sio 'secrety service'. Angekuwa mmoja wao, wala asingejitambulisha facebook halafu akaachwa.Nimeona TISS hapo.
Kuna wakatu mnahitajika kuficha upumbavu...Ingekuwa mtu wa chama tawala nanyi msingekuwa tofauti na huyo.. tunajua watu wengi wanavyoandika humu JF.