Kuna watu wana majibu ni balaa

wakwee wa sikuhizi hatahaya hakuna

ndomana wengi wanagongwa na wakwe zao, na jamaa kapiga familia yote ,ndingi ndo kapona
 
Hi inaitwa blal fake... Ubaya Ubwela... Shangazi Na wife hawatakaa kushoboka Tena mbele ya Mwamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....
 
Jamaa katisha,tena huenda hizo k zilizokuwa ndani ya hyo IST ndizo zilizosababisha jamaa awe na hicho kigari huenda kama sio wao angekuwa na hilo li G wagon
Hahaha yule mwamba mwenzangu na mimi tu uweza wa G wagon hana sema amejaliwa kujiamini sanaa.
 
Hii stori ya siku nyingi sana miaka kenda na kenda.
basi jamaa alitembea humo kwenye story akaapply na kwa namna nilimuuliza baadaye nikagundua yule shangazi alistahili majibu ya style ile.
 
Huyu mbabe sanaa duuh! Ila hata mimi ningetafuta namna namna ya kuwashusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…