Kuna watu walitudanganya CCM imeimarisha TZS thidi US dollar

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,681
Reaction score
20,688
Great Thinkers.

Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.

Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyi . Siku nyingine mjifunze analysis za financial markets.

IMG-20250319-WA0054.jpg
20250319_170727.jpg

Screenshot 2025-03-20 044503.png
 
Nakumbuka waliweka mpk vikao na kuita waandishi wa habari eti pesa ya Tanzania imearika kutoka 2600 mpk 2400 sasa yetu hayo umerudi kulekule
 
Na ndiyo kipindi wese lilishuka bei wakatupigia kelele za Mama this Mama that.

Sasa bei imenyanyuka wataibuka na ngonjera za vita vya Urusi!
 
Mwafaa
By Jiwe

Ujinga Mwingi Sana, Mara TRA Imekusanya Mara Dufu Kodi
Mara Deni Ni Himilivu, Kucheka Mtacheka Ila Tanzania Inadoda Wahuni Sijui Mzalendo
Bado Gavana, Waziri Wa Pesa Hawajaachia Ngazi Wanakula Mema
 
Great Thinkers.

Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.

Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyingune mjifunze analysis za financial markets.

View attachment 3276378View attachment 3276388Sasa hivi hawaonekan
 
Mwafaa
By Jiwe

Ujinga Mwingi Sana, Mara TRA Imekusanya Mara Dufu Kodi
Mara Deni Ni Himilivu, Kucheka Mtacheka Ila Tanzania Inadoda Wahuni Sijui Mzalendo
Bado Gavana, Waziri Wa Pesa Hawajaachia Ngazi Wanakula Mema
walisema wameuza sana korosho nje ya nchi😀
 
Mwafaa
By Jiwe

Ujinga Mwingi Sana, Mara TRA Imekusanya Mara Dufu Kodi
Mara Deni Ni Himilivu, Kucheka Mtacheka Ila Tanzania Inadoda Wahuni Sijui Mzalendo
Bado Gavana, Waziri Wa Pesa Hawajaachia Ngazi Wanakula Mema
Shida ni kwamba ,wanatujua.
 
Great Thinkers.

Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.

Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyi . Siku nyingine mjifunze analysis za financial markets.

View attachment 3276378View attachment 3276388
Dah,

Nimetoka kumtupia mtu muamala sasa hivi M-Pesa kwa rate ya Tsh 2645 kwa USD 1.

Screenshot_20250319_153745_Sendwave.jpg
 
Great Thinkers.

Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.

Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyi . Siku nyingine mjifunze analysis za financial markets.

View attachment 3276378View attachment 3276388
 
Attachments

  • FB_IMG_17375278620527460.jpg
    FB_IMG_17375278620527460.jpg
    302.5 KB · Views: 22
Great Thinkers.

Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.

Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyi . Siku nyingine mjifunze analysis za financial markets.

View attachment 3276378View attachment 3276388
View attachment 3276991

Kuna watu walisema ni umahili wa serikali ya awamu ya sita, dola kuporomoka dhidi ya shilingi. Sijui sasa hivi watatuambia nini baada ya haya majanga kutokea
 
Back
Top Bottom