Kuna watu wakipotea Dunia inakosa amsha amsha kabisa

Osama
IMG_20191028_182308_495.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20191028_182308_495.JPG
    IMG_20191028_182308_495.JPG
    43.9 KB · Views: 7
Adolf Hitler mwenyewe ukipenda mwite Mnyamaa
IMG_20191028_185410_584.JPG
 
Dunia sasa imepoa mpaka inaboa yaani haina Tena hamsha hamsha kama zamani, tangu kupotea kwa miamba hii kina Osama Bin Laden, Adolf Hitler, Muhamali Gadafi, Idd Amin Dada, Pablo Escobar

Wakina Fidel Castro, George Bush Mwamba Goliath bila kumsahahu Mwamba Pharao nk

Hawa miamba bwana ndio walikuwa wanaichangamsha Dunia kiukweli yaani kuishi duniani ilikuaa hadi Raha,

ilikuwa ata ukitoka kwenda sehemu nyingine (ndotoni) Ukiulizwa umetoka wapi unajivunia kusema kwamba Nimetoka Duniani,

Tangu kupotea kwa hiyo miamba Dunia imepoa ,
Hakuna ata mwamba wa kutuchangamsha tena hapa Duniani. Yaani Dunia ya sasa iko bored sana mpaka inaboa.

Cc Zero IQ
Siku hizi imebakia mipasho ya Kiduku na Trump wanainguana na maneno ya kwenye Khanga tu.
 
Dunia sasa imepoa mpaka inaboa yaani haina Tena hamsha hamsha kama zamani, tangu kupotea kwa miamba hii kina Osama Bin Laden, Adolf Hitler, Muhamali Gadafi, Idd Amin Dada, Pablo Escobar

Wakina Fidel Castro, George Bush Mwamba Goliath bila kumsahahu Mwamba Pharao nk

Hawa miamba bwana ndio walikuwa wanaichangamsha Dunia kiukweli yaani kuishi duniani ilikuaa hadi Raha,

ilikuwa ata ukitoka kwenda sehemu nyingine (ndotoni) Ukiulizwa umetoka wapi unajivunia kusema kwamba Nimetoka Duniani,

Tangu kupotea kwa hiyo miamba Dunia imepoa ,
Hakuna ata mwamba wa kutuchangamsha tena hapa Duniani. Yaani Dunia ya sasa iko bored sana mpaka inaboa.

Cc Zero IQ
Dont worry kuna mwamba JPM, na Mamba Trump, pamoja na Kim Jon Un
 
Back
Top Bottom