Kuna watu wakipotea Dunia inakosa amsha amsha kabisa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Dunia sasa imepoa mpaka inaboa yaani haina Tena hamsha hamsha kama zamani, tangu kupotea kwa miamba hii kina Osama Bin Laden, Adolf Hitler, Muhamali Gadafi, Idd Amin Dada, Pablo Escobar

Wakina Fidel Castro, George Bush Mwamba Goliath bila kumsahahu Mwamba Pharao nk

Hawa miamba bwana ndio walikuwa wanaichangamsha Dunia kiukweli yaani kuishi duniani ilikuaa hadi Raha,

ilikuwa ata ukitoka kwenda sehemu nyingine (ndotoni) Ukiulizwa umetoka wapi unajivunia kusema kwamba Nimetoka Duniani,

Tangu kupotea kwa hiyo miamba Dunia imepoa ,
Hakuna ata mwamba wa kutuchangamsha tena hapa Duniani. Yaani Dunia ya sasa iko bored sana mpaka inaboa.

Cc Zero IQ
 
Kwa sasa kuna JPM, Kiduku,

Amber rutty,Wakina Mariam biriani, Gigy money na wengineo sampuli ya hao wanatia hamsha hamsha duniani.

Bila kumsahau Kiduku Lilo
 
Dunia sasa imepoa mpaka inaboa yaani haina Tena hamsha hamsha kama zamani, tangu kupotea kwa miamba hii kina Osama Bin Laden, Adolf Hitler, Muhamali Gadafi, Idd Amin Dada, Pablo Escobar

Wakina Fidel Castro, George Bush Mwamba Goliath bila kumsahahu Mwamba Pharao nk

Hawa miamba bwana ndio walikuwa wanaichangamsha Dunia kiukweli yaani kuishi duniani ilikuaa hadi Raha,

ilikuwa ata ukitoka kwenda sehemu nyingine (ndotoni) Ukiulizwa umetoka wapi unajivunia kusema kwamba Nimetoka Duniani,

Tangu kupotea kwa hiyo miamba Dunia imepoa ,
Hakuna ata mwamba wa kutuchangamsha tena hapa Duniani. Yaani Dunia ya sasa iko bored sana mpaka inaboa.

Cc Zero IQ
Umeacha lini kuongelea mambo ya "kwichikwichi"? Hao wauaji na vita ndo unawamiss? Kweli? Ni raha kuishi dunia ya vita na kuuana? Think twice Mr. ZeroIq
 
Daaaah aise nimekumbuka mbali Hadi nimefurahi kwani mkuu ulikuwa unawaza nini hadi kuwafikiria hao wakuwekwa page front.
Kila nikizama kwa internet sikuti tena zile habari moto moto nakutana na habari za kisoro tu na kusifiana ujinga,
Ndio nikajua sababu tu ya hiyo miamba, wangekuwa mpaka leo basi ingekuwa kila ukizama net unakutana na Tukio yaani tungekuwa tunaishi standbye.
 
Back
Top Bottom