DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,312 Reaction score 109,600 Nov 18, 2020 #1 Umejifunza Nini Kati ya hizo picha mbili
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,980 Reaction score 22,455 Nov 18, 2020 #2 Sio kila mtu anafurahia mafanikio ya mwenzake, anyway mimi nilijua sisi pure black ndio tunaongoza kumbe sio kweli!.
Sio kila mtu anafurahia mafanikio ya mwenzake, anyway mimi nilijua sisi pure black ndio tunaongoza kumbe sio kweli!.
Ngumu kumeza JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 577 Reaction score 354 Nov 18, 2020 #3 Mambo ya wivu tu hapo hakuna kingine.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,422 Reaction score 51,482 Nov 19, 2020 #4 Picha inaweza kudanganya kulingana na makusudi ya aliyeitengeneza. Kama wakati huyo black anapiga makofi kamera haikumchukua? Kwenye events hizo sio kila wakati utakuwa unapiga makofi na camera inaweza kukunasa muda huo.
Picha inaweza kudanganya kulingana na makusudi ya aliyeitengeneza. Kama wakati huyo black anapiga makofi kamera haikumchukua? Kwenye events hizo sio kila wakati utakuwa unapiga makofi na camera inaweza kukunasa muda huo.
Mr_X JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,170 Reaction score 2,340 Nov 19, 2020 #5 DeepPond said: Umejifunza Nini Kati ya hizo picha mbiliView attachment 1629548 Click to expand... Kuna kipindi hata yeye Serena ashawahi nuna baada ya kufungwa na Naomi Osaka, nambo mengine huwa na mood
DeepPond said: Umejifunza Nini Kati ya hizo picha mbiliView attachment 1629548 Click to expand... Kuna kipindi hata yeye Serena ashawahi nuna baada ya kufungwa na Naomi Osaka, nambo mengine huwa na mood
S siasa ms JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 1,821 Reaction score 3,163 Nov 19, 2020 #6 nendeni mkaangalie video ndo mtagundua kilichoandikwa hapa ni utopolo
S siasa ms JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 1,821 Reaction score 3,163 Nov 19, 2020 #7 kwani serena wil alishangilia mda wote?acheni uchochezi
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,062 Reaction score 27,918 Nov 19, 2020 #8 Hiyo picha unaweza kukuta alisha shangilia sasa wakati anamalizia ndio picha ikapigwa,ila wapambe wanataka tu kukuza mambo...
Hiyo picha unaweza kukuta alisha shangilia sasa wakati anamalizia ndio picha ikapigwa,ila wapambe wanataka tu kukuza mambo...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,760 Reaction score 196,503 Nov 19, 2020 #9 Kuna furaha na huzuni... Kuna kukasirika na kukasirishwa... Kuna roho mbaya na mazuri... Cc: mahondaw
Kuna furaha na huzuni... Kuna kukasirika na kukasirishwa... Kuna roho mbaya na mazuri... Cc: mahondaw