ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,667
- 57,077
Utasikia Mara ooh chamani wanavurugana Mara ooh Magufuli hakubaliki chamani na uzushi mwingine mwingi tu hawajui Kama wenye Chama tuko huku mitaani na tunampenda Magufuli sana kwani amethubutu kuijenga Tanzania mpya.
Kwa taarifa yenu CCM ndio Chama chenye kufuata demokrasia kwenye chaguzi zake
Ndio Chama pekee ambacho kina uwezo wa kujitathmini na kubadilika anytime.
Ndio Chama pekee chenye ofisi zinazoeleweka yaani ukiangalia ofisi yao TU unajua kweli Wana viongozi walio serious kushika nchi.
Ndio Chama pekee Tanzania ambacho kina jumuiya imara Sana mfano uvccm,ya wanawake ambazo zinahamasishana kwenye upigaji wa kura.
CCM ndio Chama pekee ambacho kwa Sasa nchini Tanzania hakuna kikundi cha watu wachache ambacho kinaweza kuwa na NGUVU kuliko ofisi yetu namba Moja ikulu yaani hakuna Tena makundi na Wafanyabiashara ambao Wana uwezo wa kumuingilia rais Magufuli kwa sababu amekataa kabisa kucheka nao(advantage kwetu wanyonge).
CCM ndio Chama ambacho kina tawi karibu Tanzania yote kila mtaa.
CCM ndio Chama ambacho hakina uongozi wa kiimla,akimaliza mkapa atakuja kikwete atakuja Magufuli baadae atafuata mwingine.
CCM kinapendeza machoni sare na flana zao za kijani na nyimbo zao za TOT Zinatupa Sana faraja watanzania wengi (sio lazima tuwe wote).hata tukipata faraja watanzania million kumi inatosha kuliko kutokupata wote kabisa.