Kuna watu hawakustahili kufa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,065
Huwa nasoma hizi post Za JF, nawasiliana na watu pm, wengine tunakutana mitaani, na baadhi tunasoma habari zao
Naamini kwa dhati ya moyo wangu, wengi wetu hapa na kwingineko tumewapoteza watu muhimu sana kwetu kijamii na hata kitaifa na wakati mwingine kimataifa
Tuna wengi katika jamii yetu hii wako katika hali fulani kimaisha na wanakumbuka kwamba Kama fulani angekuwa hai Leo hii nisingekuwa hivi ama nisingekuwa hapa au nisingekuwa na haya mateso
Hawa ni wazazi wetu walezi ndugu marafiki jamaa na hata watu baki.. Wanatokea katika maisha yetu na kuwa watu muhimu mno watu wa msaada sana watu wa upendo sana....halafu ghafla wanazimika na kuzima ndoto nyingi, matumaini mengi fursa nyingi na hata misaada
Mambo yanapokuwa magumu, shida zinapozidi, unapopoteza matumaini Unakumbuka na kujisemea fulani angekua hai haya yote yasingetokea
Bahati mbaya ama nzuri mipango ya Mungu si ya mwanadamu, yeye ndie ajuaye Kutoka kwetu na kuingia kwetu....kila jambo linafanyika na kutokea kwa sababu..
Mungu hawezi kamwe kuziba milango yote lazima kuna mmoja atauacha wazi... Jitahidi uuuone.....
Cha kusikitisha ni kwamba wema anawachukua wabaya anawaacha... Imagine Leo hii ungeambiwa nani angestahili kufa ama kubaki ungempendekeza nani?
 
Hakuna mtu namtegemea zaidi duniani kama MAMA yangu. Huyu ni hero, ni champion, ni mtu siezi mfananisha na kiumbe chochote duniani. Ni mlezi wangu, mwalimu, mshauri, mkufunzi, motivator, yeye ni kila kitu kwangu. Katika kila jambo ninalohitaji msaada mtu wa kwanza anaye 'pop up' katika kichwa changu ni mama.

Japo Mungu hapangiwi nini cha kufanya, namuomba sana aendelee kumpa maisha marefu mama yangu. Amen!!
 
Duh mshana bana..bora angekufa pombe angebaki mdingi wangu...RIP DADY
 
Hicho nitawaambia wakiamka.

Nilale wakati ndiyo naamka! Wewe vip shemeji umekojolea godoro eeeh [emoji85][emoji85]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mkojo upi shem unazungumziaaaaa[emoji85]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mkojo upi shem unazungumziaaaaa[emoji85]
Halafu ujue huu uzi wa majonzi hebu tutoke humu...[emoji4]

Kwani mtu na shemeji yake wanatakiwa wazungumzie mikojo ipi?
 
Halafu ujue huu uzi wa majonzi hebu tutoke humu...[emoji4]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sawa shem. Ujue mkuu aliyeleta katoka uparen soo tuwe makini duuuh[emoji85]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sawa shem. Ujue mkuu aliyeleta katoka uparen soo tuwe makini duuuh[emoji85]
Unakimbia swali langu eeh.. soma qoute yangu ya juu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…