pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,364 Reaction score 4,048 Nov 5, 2014 #1 Kuna habar nasoma hapa kuna jamaa kajiua nakukimbia bado polisi wanamtafuta kisa alivyotoka jela dem wake alimuuliza mpenz umeniletea zawad gan?..hiyo imetokea hapo moshi
Kuna habar nasoma hapa kuna jamaa kajiua nakukimbia bado polisi wanamtafuta kisa alivyotoka jela dem wake alimuuliza mpenz umeniletea zawad gan?..hiyo imetokea hapo moshi
O owigo Member Joined Jun 17, 2011 Posts 45 Reaction score 8 Nov 5, 2014 #2 Mbona haueleweki aisee?? Mtu anajiua vp na kukimbia??????
terasy JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 481 Reaction score 134 Nov 6, 2014 #3 Bora akajizike mwenyewe huko aliko kimbilia