Kuna wanawake wanajua kuongea

Kuna wanawake wanajua kuongea

Mzee unanikumbusha mengi sana kuhusu hawa wanawake wafupi;
1. Huwa wana upendo wa kweli wanapopenda.
2. Wanatupenda sisi wanaume warefu kiasi.
3. Ni waongeaji wazuri ukiwaelewa. Wako romantic sana. Akikupenda hafichi kitu, she will tell you everything.
4. Watu huwaogopa kwa kuwa ni wakali mno kwa watu wa nje ila kwa mpenzi wake huwa wapole sana.
5. Huwa wanaongoza kuumizwa kwenye mapenzi kwa sababu wakishachukia hawana breki ya matusi.
- Wanaongoza kwa kutukana; utadhani wana kamusi ya matusi ya kitaa.

Nimeongea kwa uzoefu wa kuwa nao kimahusiano.
Usimseme shemejio bana😂😂😂
 
Back
Top Bottom