Kuna wanawake wanajua kuongea

Kuna wanawake wanajua kuongea

Mzee unanikumbusha mengi sana kuhusu hawa wanawake wafupi;
1. Huwa wana upendo wa kweli wanapopenda.
2. Wanatupenda sisi wanaume warefu kiasi.
3. Ni waongeaji wazuri ukiwaelewa. Wako romantic sana. Akikupenda hafichi kitu, she will tell you everything.
4. Watu huwaogopa kwa kuwa ni wakali mno kwa watu wa nje ila kwa mpenzi wake huwa wapole sana.
5. Huwa wanaongoza kuumizwa kwenye mapenzi kwa sababu wakishachukia hawana breki ya matusi.
- Wanaongoza kwa kutukana; utadhani wana kamusi ya matusi ya kitaa.

Nimeongea kwa uzoefu wa kuwa nao kimahusiano.
Yani kitu kidogo tu.. Prererr preerrr prre peche haziishi,
Sasa ukutane na demu mfupi ndio utajuta,hasa hasa wale wafupi alafu wamenenepa round[emoji41] mwanzoni vinakuwaga vipole ila sasa mkishazoeana, Yani ukifanya kosa kidogo tuu anaona kama umemdharau, Yani ataongea ata wale wafanyakazi wa Aim global na Qnet hawaoni ndani

Balaa lingine ni hawa wembamba.. Ni wabishi hawa[emoji41][emoji41] alafu wanavojiamini sasa.. Na hawa bora waongee maana kama uko mbali alafu akupigie simu usipokee, iyo message ataandika ni ndefu utazani hotuba ya Zitto kabwe inayohusu Ufisadi Tz...

Kitu nawapendea hawa mademu wako romantic sanaView attachment 1106404
 
Messi na kuitwa mfupi ni 5'7
Sijui maana mwanaume na mwanamke ni tofauti ... Mwanamke akiwa 6ft anatisha ila kwa mwanaume ni sawa.. Kwa mazingira ya Tz mwanaume mwenye 5.7 hiyo ni avarage height
 
Mzee unanikumbusha mengi sana kuhusu hawa wanawake wafupi;
1. Huwa wana upendo wa kweli wanapopenda.
2. Wanatupenda sisi wanaume warefu kiasi.
3. Ni waongeaji wazuri ukiwaelewa. Wako romantic sana. Akikupenda hafichi kitu, she will tell you everything.
4. Watu huwaogopa kwa kuwa ni wakali mno kwa watu wa nje ila kwa mpenzi wake huwa wapole sana.
5. Huwa wanaongoza kuumizwa kwenye mapenzi kwa sababu wakishachukia hawana breki ya matusi.
- Wanaongoza kwa kutukana; utadhani wana kamusi ya matusi ya kitaa.

Nimeongea kwa uzoefu wa kuwa nao kimahusiano.
Wanafaa kuoa ila tatizo mbegu
 
Twanamke tufupi aisee huwa ni tabu sana:-

1~ mkiwa matembezini halafu ukisalimiana na mwanamke mrefu kukazidi basi jiandae kwa ugomvi mkirudi nyumbani au hata pale pale kama kakishindwa kudhibiti hasira zao

2~ kama kakianzisha chokochoko ya maneno na wewe uko kimya tu kanaona kama umekadharau, unaweza kushangaa kanaanza kukusukuma, ukiendelea kukapuuza basi sio ajabu sana kakarusha na kibao kabisa.

3~ kwenye suala la ulabu huwa ni twepesi sana kulewa maana tumbo linakuwa lipo jirani na kichwa.

4~ ni tujitu twenye mipango mizuri sana ya kimaisha/kibiashara, lakini huwa tunafelishwa na wivu tu, mnaweza kuwa hata mmeanza biashara kwa kutumia wazo lake kakigundua kwamba juzi ulisalimiana na mwanamke mrefu kukazidi basi ile biashara iko hatarini sana.

5~ tunajua mno kutunza visasi, kuna kamoja nilizaa nako kanatokea ile kanda maalumu kabila moja na dingi wa national, kaliwahi kumparamia dada mmoja hivi jirani yetu, kisa tu kalimsikia anamwambia yule binti yetu niliyezaa nako "niamkie mtoto wangu, na mtoto nae akasema shikamoo mama"......kalichachamaa vibaya sana eti namtambulisha mtoto kwa hawara zangu.

6~ ni zaidi ya miaka 19 tangu tumeachana na nimeoa mke mrefu kuliko kenyewe, lakini kakinipigia simu nikipokea nampa mtoto wake aongee nako kanachukia, kanasema kwamba eti namuogopa wife ndio maana sitaki kuongea nako.

7~ kwenye suala la 6×6 ni kama waliotangulia kusema, huwa ni twa motooooooo......tutamu balaa na tunajua sana kujishughulisha nadhani ili kuji defence tusidharaulike, hata kwenye mapishi ni tufundi mno.

NB:- tuko smart sana
 
Hakika mkuu
 
Back
Top Bottom