General Nguli JF-Expert Member Joined Apr 22, 2022 Posts 1,287 Reaction score 2,664 Mar 25, 2023 #22 Kuna mwengine ana anatunza mtoto vizuri ispokuwa hana muda wa kucheza nae hata kumlisha na kuumpa mapenzi kama mama. Mambo yote anafanya mfanyakazi wake.
Kuna mwengine ana anatunza mtoto vizuri ispokuwa hana muda wa kucheza nae hata kumlisha na kuumpa mapenzi kama mama. Mambo yote anafanya mfanyakazi wake.
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,659 Reaction score 20,072 Mar 25, 2023 #23 Yote yanategemea na matunzo anayopewa mama pamoja na mtoto
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,929 Mar 26, 2023 #24 Fanya kila kosa ila USIZAE NA FALA