Sasa ndio ukagegedewe kwenye kitanda cha mumeo??!!!Alikosa mgegedo wa haja.
Haya tiririka kungwi.Koooooh! Koooooh!
Aisee sasa presha zote za nini??!! Kama vipi si bora uwe single tu.Hii hatari sana.Kuishi na mwanamke mzinifu ni balaa.Hii inatokana na sababu kua sku hizi vijana wanaoa wanawake ambao wameshakubuhu kias kwamba inakua ngumu kumridhisha kimapenzi.Utashangaa mwanamke alishagawa uroda Kwa wanaume zaidi ya 50 kabla ya kuolewa,ukisafiri kidogo tu anawarudia.Mi hua naaga ninapoenda safarini ila kurudi ni ghafla kama JK.
Ni mama wa watoto wako. Saa nyingine unatakiwa kufanya maamuzi ukiwafikiria watoto. Mwanamke ukishazaa nae kuna vitu hutakiwi kufanya kabisa maana ukimdhalilisha yeye unawadhalilisha watoto pia na mbaya zaidi hawa watoto wataathirika katika maisha yao yote.uyo jamaa anahuruma sna mi ata bikin simpi angetoka km alivokuwa anasaliti..
Moyo wa chuma kwa sumaku utavutwa tu bora ungesema moyo wa shaba
NK ishu sio kuchapiwa as much as kachapiwa wapi? Mimi mke wangu akimegwa mitaani huko uamuzi nitakaochukua ni tofauti sana na akimegewa ndani kwangu tena katika kitanda changu mwenyewe.Inawezekana jamaa alikuwa anasahau kuwa ana mke nyumbani...anafukuza pesa 24/7...japo sitetei uzinzi; ikifika mpaka mke kunogewa na kukaribisha mwanaume mwingine ndani kuna maswali mengi kuliko majibu...
Na asipojirekebisha atachapiwa sana hata aoe mara kumi...wamama wakiolewa hawafati magorofa; wanafuata mume
lara moko naona unafuraaahi mwenyewe ila kumbuka habari ndio kama hizi. Ni vigumu sana kukuta mtu anaanzisha uzi kuhusu mume aliyerudi akapokelewa vizuri na mke, akapewa chakula na wakafurahia mapenzi yao kwa sababu kawaida sio habari.Koooooh! Koooooh!
Usimpe ibilisi nafasiNK ishu sio kuchapiwa as much as kachapiwa wapi? Mimi mke wangu akimegwa mitaani huko uamuzi nitakaochukua ni tofauti sana na akimegewa ndani kwangu tena katika kitanda changu mwenyewe.
Ibilisi yupi kapewa nafasi hapa?Usimpe ibilisi nafasi
Ni mama wa watoto wako. Saa nyingine unatakiwa kufanya maamuzi ukiwafikiria watoto. Mwanamke ukishazaa nae kuna vitu hutakiwi kufanya kabisa maana ukimdhalilisha yeye unawadhalilisha watoto pia na mbaya zaidi hawa watoto wataathirika katika maisha yao yote.
Watoto mkuu watoto....
Haya mkuu endeleeni kudhalilishana.tambua kuwa nami ni baba watot wke kuna vitu vya kishenz km ivo hapaswi kunifanyia kabisa mbaya zaidi anagegedwa mbele ya watot wng (chumban kwangu) huruma haimfai kabisa..
Jamani wengine wanatabia za nzi kuskia harufu ya choo tayar washajazana sio wote umalaya n.hulka ya mtu husika na kuamua tu kua malaya