Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,357
- 111,638
hivi pancha unawezaje kuizuia
Kwa swali hili bado unajiita dereva??
hivi pancha unawezaje kuizuia
gari la kuazima utalijua kweli?
usikute na simu nayo uliazima....
weekend hii nilikuwa sina hili wala lile mara mdada niliyemfukuzia miezi kadhaa akasema nimfuate kwao kijitonyama ,nikachukua gari la brother mpaka kwao ile anaingia gari ikagoma kuwaka ,tukarekebisha .kufika maeneo ya chuo kikuu,pancha,tukaziba ,kufika ubungo trafic wakatupiga bao eti hatujafunga mkandaelfu kumi ,kucheki mfukoni simu nimesahau pale nilipokuwa naziba pancha kurudi siiikuti,mchezoo ukaishia hapo nikampa elfu mbili ya nauli arudi kwao na uzuri wake wote nimenawa mikono
nasikia kuna wadada ukioa nyota yako inafifia au unafirisika sasa huyu naona unaweza kufa kabisa
ukichanganyikiwa ndio tairi lipate pancha nakubali ni mrembo sana na nilikuwa natokwa na mate lakini mimi huyu ni mwanamke wa kama 30 hivi so sio mgeni kwenye haya mambo kiasi hichoUlichanganyikiwa akili ikahama ukawa unafanya mambo bila mpangilio maalum;
ushukuru ulimruhusu aondoke manake huko mbele na jogoo asingepanda mtungi;
Ila usimwache jaribu tena ila uwe na utulivu wa kutosha.
ukichanganyikiwa ndio tairi lipate pancha nakubali ni mrembo sana na nilikuwa natokwa na mate lakini mimi huyu ni mwanamke wa kama 30 hivi so sio mgeni kwenye haya mambo kiasi hicho