Huo ndio uanaumeNilijibiwa shombo na demu mmoja tukiwa lodge, ilikua kama saa mbili usiku.
Muda ule ule nilibeba begi langu nikaondoka kwenda kutafuta lodge sehemu nyingine nikamuacha pale.
Ni takriban 6months tangu lile tukio litokee hadi leo ananibembeleza turudiane sijakubali na sitakubali maana naweza kuishia jela siku moja.
Mungu aliniepusha siku ile ningefanya tukio la kusikitisha
Ulimpa hiyo 30k ya Nini?? Kwani wewe MUNGU??Alaf suala lenyewe mpaka ananitolea shombo lilikua dogo sana.
Kuna jamaa yangu alikuja akaniita nje, nikamwambia twende umsalimie shemeji yako akakataa akasema amechoka, nikatoka kumcheki jamaa tumaamua kwenda kunywa juice sehemu, nimerud baada ya dkk 40 hivi.
Imefika saa moja na nusu nikamwambia ishu ya kula akasema hatoki, nikamwambia mi nimeshiba nilikunywa juice, we sinilikwambia tutoke ukagoma aisee acha atokwe na maneno machafu, we nani? Unataka kunipelekesha unanichukuliaje, unadhani wewe una hiyo power? Unajiona kwa mfano? Unataka ukisema kitu lazima kitendeke kwani we Mungu?
Aiseeee nikasikia mwili unatetemeka ghaflaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sikumjibu nikakaa kimya namuomba Mungu anipe uvumilivu, yule mwanamke aliendelea kubwabwaja maneno ya kejeli na hovyo, nilichofanya niliinuka nikapanga nguo zangu nilizokuwa nimesafiri nazo kwenye kibegi changu, nikatoa hela kama 30K nikampa nikamwambia nauli yako hii, kukikucha ondoka uende kwenu.
Muda ule ule nikasema kutafuta lodge nyingine nikalala peke yangu.
Alaf demu mwenyewe hana hata dira ya maisha kamaliza o level sasa sura yake na shape ndo vinampa kiburi. Anaendelea kunibembeleza mpaka leo[emoji23][emoji23]
Kabisaaa, na kutaka mwanamke awaze Kama yeye, wakati akili za kike Ni tofauti kabisaaMATATIZO MENGI YALIYOPO DUNIANI YANASABABISHWA NA WANAUME KUKAA KIMYA
"...nilimchangamsha.." neno zuri sana hiliNiliwah jikok kununua keki ya bdai ya manz mmoja kipind hiko akaipokea ila kumbe hakuipenda ilipita kama week hiv nikashika simu yake wanagrup la watu 6 wanajiita sijui beauty nn huko basi kuangalia nikakuta wamediskasi ile keki wamenipiga majungu balaaa mbaya zaid yeye ndo alikuwa mchochez mkuu mbaya zaid hela niliipata kwa tabu ili nimridhishe mwisho wasiku akasema nimeleta keki ndogo kama tako la mtto nilimchangamsha ile siku nadhan hataisahau maishan kwake
Hahahhaha ukijifanya unatoa msamaha2 unaomba nauli aje tenakajirudi ila sina hamu naeView attachment 1565641
Pia kun mtama unaitwa mbelekwambele aka ccm,emanuel mbasha anaujua vizuriMkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!
Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
[emoji23][emoji23]Mimi Hilo la kutokupiga ke nililiacha toka nilipokuta nimeseviwa jina "KIBERENGE" wakati mi najina zuri tu..[emoji23]
Kwa kuwa umeamua kumtimua hapo sina nyongezaYaani mtu, anadai hawezi kutumia jiko kupika wali, eti ilo jiko haliwezi, jiko mmenunua zaidi ya laki 7, linaoza, unamwachia, elfu 10K, ya kula ukitoka kuangaika jioni unamwambia unakula nini, kununue ata chips, anasema amechoka hatoki nje.
Basi unamwambia kama umebakiza ata elfu 1, leta nimpgie simu boda akuletee chakula, mi ntakununulia alafu nauli mpe boda ata buku, anakwambia hana ata mia, na apo ulimwachia elfu 10, unakuta wewe unakula yule mdudu na yeye hali, basi unanunua mdudu wako unampa elfu 3, kanunue viazi anakwambia mimi nje sitoki nmechoka, na apo kashinda amekaa tu.
Basi unaona jau kula huku mwenzio kakakaa tu, unaamua kwenda kununua, asbui nmemwambia kuna mdogo wangu anakuja kulala, na nmechukia bora asirudi kabisa.
Eti demu ambae hana elimu, ana heshima weeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujawakuta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliwah jikok kununua keki ya bdai ya manz mmoja kipind hiko akaipokea ila kumbe hakuipenda ilipita kama week hiv nikashika simu yake wanagrup la watu 6 wanajiita sijui beauty nn huko basi kuangalia nikakuta wamediskasi ile keki wamenipiga majungu balaaa mbaya zaid yeye ndo alikuwa mchochez mkuu mbaya zaid hela niliipata kwa tabu ili nimridhishe mwisho wasiku akasema nimeleta keki ndogo kama tako la mtto nilimchangamsha ile siku nadhan hataisahau maishan kwake
Mkuu taratibu mbavu zinauma kwa kichekoMkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!
Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
"My" brother hii biashara ni jivu hiikajirudi ila sina hamu naeView attachment 1565641
Hahahahaha we jamaa nimecheka kweliAlaf suala lenyewe mpaka ananitolea shombo lilikua dogo sana.
Kuna jamaa yangu alikuja akaniita nje, nikamwambia twende umsalimie shemeji yako akakataa akasema amechoka, nikatoka kumcheki jamaa tumaamua kwenda kunywa juice sehemu, nimerud baada ya dkk 40 hivi.
Imefika saa moja na nusu nikamwambia ishu ya kula akasema hatoki, nikamwambia mi nimeshiba nilikunywa juice, we sinilikwambia tutoke ukagoma aisee acha atokwe na maneno machafu, we nani? Unataka kunipelekesha unanichukuliaje, unadhani wewe una hiyo power? Unajiona kwa mfano? Unataka ukisema kitu lazima kitendeke kwani we Mungu?
Aiseeee nikasikia mwili unatetemeka ghaflaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sikumjibu nikakaa kimya namuomba Mungu anipe uvumilivu, yule mwanamke aliendelea kubwabwaja maneno ya kejeli na hovyo, nilichofanya niliinuka nikapanga nguo zangu nilizokuwa nimesafiri nazo kwenye kibegi changu, nikatoa hela kama 30K nikampa nikamwambia nauli yako hii, kukikucha ondoka uende kwenu.
Muda ule ule nikasema kutafuta lodge nyingine nikalala peke yangu.
Alaf demu mwenyewe hana hata dira ya maisha kamaliza o level sasa sura yake na shape ndo vinampa kiburi. Anaendelea kunibembeleza mpaka leo[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulimchangamshaje mkuu??Niliwah jikok kununua keki ya bdai ya manz mmoja kipind hiko akaipokea ila kumbe hakuipenda ilipita kama week hiv nikashika simu yake wanagrup la watu 6 wanajiita sijui beauty nn huko basi kuangalia nikakuta wamediskasi ile keki wamenipiga majungu balaaa mbaya zaid yeye ndo alikuwa mchochez mkuu mbaya zaid hela niliipata kwa tabu ili nimridhishe mwisho wasiku akasema nimeleta keki ndogo kama tako la mtto nilimchangamsha ile siku nadhan hataisahau maishan kwake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwingine nimepanda nae daladala mbele huko wakapanda wenzake watatu nauli boko to simu2000 ni 750 hesabu ilikuwa ni mm na yeye kwenda 1500 kurudi 1500 na alijua fika pesa niliobeba ilikuwa fixed kulingana na bajet tulioipanga tena tukiwa wawil yan haikutakiwa ipungue hata mia sasa akawaambia wasilipe nauli konda kaja nikatoa buku jero akanipandishia saut kweny daladala kwamba lipa nauli za wale mpaka kila alikaa pemben alisikia nikikoromewa kwa saut[emoji28] aseeh nilipaga ghadhabu kubwa ila kama kawaida tulipo rudi nilimweleza akapandisha sauti nika mchangamsha vizur tu
Unamjibu wa nini mzee kaushaa..!![emoji23][emoji23][emoji23]kajirudi ila sina hamu naeView attachment 1565641